Ni wangapi wanakumbuka jina la mwalimu wa darasa la kwanza?

Mwalimu Kilimo Nsalaga PR School, mwal. Dorice Mwalimu mwakalonga ,Mwl.moses alihamia gombe PR. Mwl Lugano wote hawa wamenifundisha Darasa la kwanza na pili NSALAGA PRIMARY SCHOOL
 
Mwalimu Edward..alikua ni mwanamke..mwanamama so loving and humble.niliipenda sana shule sababu yake.,
Alikua hashiki bakora kuchapa..anakufinya kwenye bibi(papuchi)

Sent using Jamii Forums mobile app
Khaa alikuwa na kazi, kwa siku alikuwa anashika papuchi ngapi? Alikuwa anakaa na maji ya kunawa darasani? Papuchi ni papuchi tu bwana hata iwe ya mtoto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwalimu Nyambi
Daaah mkuu wewe wa nachingwea tu.

Sisi alitufundisha la saba huyu mama.

Alikuwa wekeend anafundisha mpaka anakera.
Siku moja anaandika ubaoni akigeuka kuna wanafunzi wa madawati ya mbele tu.wote wengine walikimbia.
 
Joel Mgeyekwa Igeleke pr school. Alikuwa so humble ila alikuwa akikupiga kofi mikono ina vumbi la chaki utaona dunia umeikumbatia wewe na baadae akaja kunifundisha mwalimu Mrs Nzali alinipenda sana japo kichwa nacho kilifanya mwalimu anipende hapo ni mwaka 1991

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwalimu NDOMBA a.k.a SAUTI MBILI, Kiburang'oma Primary school Box 293 Songea (1981) ..... Lizaboni. Namkumbuka na Baiskeli yake wallah... Alisababisha niipende sana shule kwak kweli...
 
15 Reactions
Reply
Back
Top Bottom