Ni wakati wetu wa Tanzania kuitumia mitandao ya kijamii kuhamasisha nguvu ya umma | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni wakati wetu wa Tanzania kuitumia mitandao ya kijamii kuhamasisha nguvu ya umma

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Nazjaz, Aug 9, 2011.

 1. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #1
  Aug 9, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 4,815
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  Serikali haitujali tena wananchi wake.
  Hali imekuwa ngumu sana na hakuna uhakika wa kupata huduma muhimu kama afya, elimu, chakula, maji, umeme, mafuta n.k.
  Sasa ni wakati muafaka wa wananchi kubadilishana habari na taarifa through social networks na kisha kufanya uamuzi wa kuingia barabarani na mitaani kuandamana mpaka pale SERIKALI LEGELEGE itakapo amka kutoka usingizzini.
   
 2. Sumbalawinyo

  Sumbalawinyo JF-Expert Member

  #2
  Aug 9, 2011
  Joined: Sep 22, 2009
  Messages: 1,286
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Niko Ukonga FFU hata maaskari wamechoka na hali iliyopo na wako tayari kuungana bega kwa bega na wananchi kuleta mabadiliko.
   
 3. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #3
  Aug 9, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,322
  Likes Received: 172
  Trophy Points: 160
  Nikweli kabisa! Tunisia na Misri zimekombolewa kutokana na msaada kutoka mitandao ya kijamii!
  Ni vizuri tukahamasishana mambo ya msingi kulikomboa taifa letu kwani saa ya ukombozi ni sasa!
   
 4. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #4
  Aug 9, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 29,561
  Likes Received: 10,039
  Trophy Points: 280
  tusidanganywe na yaliyojiri leo bungeni, tunataka kuona mafuta yakiuzwa vituoni haraka. Hotuba nzuri peke yake hazitoshi
   
Loading...