Uchaguzi 2025 Ni wakati wakufutilia mbali "Viti Maalumu ". Viongozi wachaguliwe based on Qualifications

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Feb 6, 2017
24,986
75,888
Ndio, Kama Taifa litashindwa ku anticipate mabadiliko yajayo ya Kidunia na ambayo yameanza hivi Sasa, basi tutakua Taifa la kijinga kuzidi ujinga wenyewe !!.

Hivi Hawa Vitu maalumu Wana kazi gan?? Taifa linaingia Hasara Kwa sababu ya kijinga kabisa.

Usawa usawa? Usawa ndio nini? Wabunge wamejaaa humo wengi kazi kubwa yao ni majungu tu na kupiga makofi, Kuna wabunge masuala ya msingi kabisa, huwaoni , wao utawasikia wakati wa Kumchamba Mpina.

Tunataka Wanawake aina ya Angela Merkel, Magreth Thatcher , Wanawake aina ya Mbunge Msambatavangu , Dkt. Gwajima, Elvira Nabiullina huyu ni Gavana Mkuu wa Benki ya Urusi Kwa zaidi ya miaka 15 .

Tukiachilia mbali Viti maalumu, hata Hawa wa Viti halali, inakuaje mtu kisa anauwezo wa kupiga yowe, CCM oyooooooo, Mama anaupigaaaaa, tayari anapewa Nafasi ya kugombea Ubunge?.

Ubunge sio tu kuomba Mabarabara, au maji au umeme. Au Mashule au hospitali hayo ni majukumu ya Serikali Kuu.

Bunge ni mshauri Mkuu, Mtunga Sheria, Wabunge wanatakiwa kuwa na Uwezo wa akina Luhaga Mpina !!
 
Back
Top Bottom