Ni wakati wa wanachadema kumuelewa Dr. Slaa na kumuwajibisha Mbowe!

tulionya tangu mapema kwamba ujio wa Lowasa na wenzake kutomka ccm tena walitoka baada ya kukatwa ccm, lilikuwa ni kaburi la chadema. ukweli na uongo huwa havikai pamoja. Mbowe huu ni muda muafaka wa kujiuzuru uenyekiti na kumuomba radhi dk Slaa.
Nadhani wataelewa vyema mno
 
Dr Mollel ninayemjua ni mtu mwenye msimamo na kamwe siwezi amini kama amenunuliwa!
 
Katika kitu(au nikiite mtu) cha kipuuzi kilichowahi kutokea CHADEMA ni Slaa.Angalia Mbowe kwa strategies zake alipokitoa chama na alipokifikisha,huo unafiki wa thread yako hauwezi kufanikiwa malengo uliyokusudia.Sio watu wote wanaosoma uzi ni wapumbavu,we read between the lines and go as far as beyond the lines as well. Hypocrisy ya Slaa na kufeli kwa malengo yake ya kuibomoa CHADEMA inawauma sana ukizingatia gharama zilizotumika.Cha ajabu ni CCM pekee wanaomsema Slaa vizuri na ya kwamba eti ndiye anayefaa kuongoza CHADEMA(sick),you can't deceive nobody.
 
chadema wako makini wanajua kinachoendelea bado muda utasema tutawavua nguo na kitakachotokea ccm haitasahau milele!
 
Mr Meningitis,yaani umesema yote lakini kuna watu wanaakili za kishikiwa,hata usema nini wao hawatofautishi kati ya maziwa na maji.haiwezekani ukaita sumu ikiwa kwangu na ikija kwako unaita dawa.Mbowe na uchaga ndiyo tatizo kwa chadema.
wataelewa vizuri sasa
 
Back
Top Bottom