Mkulungwa01
JF-Expert Member
- Jul 14, 2021
- 3,979
- 5,295
Japo ni usiku ila nimewiwa kuandika bandiko hili. Kuhusu afya mimi ni mzima na natumai wanajamvi ni wazima pia. Haya nakwenda kwenye lengo
Nimewahi kuishi mitaa mingi ya uswshilini Dar wakati fulani, malezi ni mabovu mno kwa watoto.
Akina mama hawana lugha rafiki na zenye staha kwa watoto ambao tunaamini ni wepesi mno kushika maneno.
Lugha hizi zimezoeleka maeneo karibu yote ya uswazi kwa hapa Dar, dhidi ya watoto kutoka kwa akina mama
"We' f@la hebu njoo uoge, lione mat@ko kama baba yako".
"Mimi nakwenda vikoba sasa we' lete p#mbu zako unikute nimesharudi utaona".
Pia hawana aibu kabisa hawa akina mama kwa watoto wao
" lione ka' linaf#rwa hivi"(kauli hii akimuambia baba mbele ya mtoto.
Akina mama kwa asilimia kubwa na akina baba wamechangia kuharibu kizazi cha watoto wa sasa.
Mtoto wa kiume miaka 6(kwa Dar) ya kuanza shule ila;
★Anajua lugha zote za matusi na za kihuni.
★Hana staha wakati wa kuongea na anajiamini kupita kiasi.
★Hana ethics za ulaji, anakula hovyo hovyo.
★Hajui na hana hata idea na vitu vya msingi kama vile kusoma saa ya mshale na kutunza muda.
★Hana hata idea ya kujaribu kufunga tie na kuchomekea n.k
Hili limepelekea kwa kiasi fulani kuongezeka kwa umasikini wa TZ kwa kuzalisha kizazi cha vitoto vipuuzi.
Je, mwanao wa miaka 6:
★Anajua kula vizuri na kufuata ethics za ulaji japo kwa 50%?
★Ana idea hata ya kutunza muda?
★Anajua hata kidogo kuchambua hoja ndogo tu za masuala yanayomuhusu, au anajua kuchambua singeli na kukatika mauno?
★Anajua au ana idea hata kidogo ya kuuliza maswali yenye logic kwa umri wake?
★Ana staha na heshima binafsi kwake na kwa watu?
Jitathmini unatengeneza mtoto wa aina gani.
Mimi nalala!