MOTOCHINI
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 27,778
- 30,749
Kwa kile kinacho endelea Marekani niwakati WA Tanzania na nchi za Afrika kutoa angalizo kwa Raia wake kuitembelea Marekani.
Mara kwa Mara nchi za hawa watu niwepesi kutoa angalizo kwa raia wake pindi tu kunapo tokea hali tofauti hasa nchi za Afrika, kwanini sisi!;?
Mpaka kufikia sasa
Tayari nchi kama Bahrain, Bahamas na New Zealand zimefanya hivyo
Sisi kimya kulikoni.
Mie naona hii inapelekea kuonekana hatujipendi, tunaburuzwa, hatuna maamuzi magumu .
Kila kona sasahivi Raia wa Marekani anatembea na Bunduki
Hii ni hatari sanasana
Mauaji ya weusi yanaongezeka kila kukicha