Ni wakati wa Tanzania kutafakari siasa zetu kama zina tija

cosmonaut

JF-Expert Member
Apr 12, 2015
1,392
2,749
Salaam Wakuuu

Nadhani wote tunafahamu kuwa Tanzania tunatumia hela nyingi sana kuigiza kuwa tuna demokrasia ya vyama vingi.

Juzi m/kiti wa tume ya uchaguzi kasema marudio ya uchaguzi kata moja ni tsh milion 200+, ruzuku zinazopelekwa kwenye vyama vya siasa ni bilions of tshs, tuna wabunge 400+ wanalipwa hela zetu walipa kodi.

Tutumia akili kidogo kutafakari hizo hela zote zingekuwa dictated na kuwa channeled kwenye matatizo haswa yanayomgusa mtz kule mtaani na kijijini hakika hii nchi tungekuwa mbali.

Siasa na demokrasia ya vyama tunayoifanya Tanzania na Afrika ni kichekesho ndio maana hata wazungu wanatucheka.

Sisi si lazima tuige vitu vyote likiwemo hili la siasa za vyma vingi, kwetu malengo yake hayafikiwi hata robo zaidi ya kulete migawanyiko na chuki kwenye jamii yetu(ona hata majibizano ya uzi huu,chuki inaonekana wazi baina yetu)

Nafahamu sana umuhimi wa madiwani na wabunge na demokrasi ya vyama siasa, ila ni wakati kama taifa tujilize kwa kufanya tathimini.

Je, kweli mtz wa Buchosa, Malangali, au Kongwa wamenufaika na huu mfumo(karbu 30 yrs tangu tumeanza vyama vingi).

Tuangalie gharama zitumikazo na faida tulizopato,pia kupima kama tunafaa kuendelea hivi hivi, tunaboresha kwanza, au tunaachana nao.

Karibuni tutafakari
 
Chumvi ikiharibika haifai kitu. Turudi kwenye utamaduni wetu.
Kweki mkuu sisi hatujasitaaribika, mambo ya chaguzi za gharama kubwa ambAzo mshindi anajulikana ni uwehu kabisa,
Watu wanahama vyama alafu wanagimbea tena tunajiingiza kwenye gharama ambazo aziminifaishi mtz at all, zaidi ya kupeana majibu mepesi NDO DEMOCRACY ushenzi mtupu democracy ambayo haimjari mlipakodi kuboresha maisha na huduma za jamii bali wanasiasa uchwara.................
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom