Ni wakati wa mashabiki/wanachama wa Simba kuchangia ujenzi wa uwanja

fofre

JF-Expert Member
Nov 16, 2016
795
1,280
Habari zenu mashabiki wa Simba, Hongerezi kwa ushindi mzuri tulio upata jana.. do or die imefanya kazi.

Wakati mechi inaendelea jana na baada ya mwamba wa lusaka kufanya yake kuna vitu nilikuwa natafakari na nikaona kwa ujumla vina faida sana kwa club yetu pendwa ya simba endapo tutaamua kuvifanyia kazi.

Pamoja na kuwa na muwekezaji simba ni timu ya wanachama na ina mashabiki wengi Tanzania bara na visiwani. Simba ina project ya kujenga uwanja ambapo ni muda mrefu tulipewa taarifa kwamba utakamilika hata kwa uwanja wa mazoezi lakin hadi leo ni kimya.

Sisi kama wanachama na mashabiki wa simba mchango wetu ni upi katika ujenzi wa uwanja, Nikaona ni vizuri kama Viongozi wa simba wakiamua kutuchangisha mashabiki ili zoezi hili likamilike kwa haraka na tuwe na uwanja wetu. na hii inawezekana sana kutokana na matokeo mazuri inayopata na malengo ambayo yanaonekana.

Mchanganuo ambao niliufanya kwa juu juu nilichukulia kila mkoa uwe na mashabiki laki mbili (200,000) ukichukulia mikoa mikubwa ambayo inaweza kufikia idadi hiyo ni 26 hivyo kwa Tanzania tuchukulie mashabiki wa simba ni milioni tano na laki mbili (5,200,000). (idadi hiyo inaweza kuzidi)

Kila mshabiki kwa mwezi achangie shilingi elfu moja mia tano tu (1,500) kwa mwezi mzima tutakuwa tumechanga bilioni saba na milioni mia nane (7,800,000,000) hivyo kwa mwaka mzima miezi 12 tutakuwa tumechanga bilioni tisini na tatu na milioni mia sita (93,600,000,000) ukijumlisha na vyanzo vya mapato ya simba pamoja na fedha ya muwekezaji tutajenga uwanja mkubwa sana na kuwa moja ya viwanja vizuri Afrika, Ni uongozi wa simba kuamua kusuka au kunyoa.

Wewe kama mdau wa simba nini maoni yako..?

uwanja wa simba.PNG
 
View attachment 1047904
Manala na Mo pitieni huu uzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inawezekana mapema , tatizo wengi wetu na viongozi we tunajijua kwa kuwa na akili za wizi wizi tu . Labda tuzichange kwa Jina la Mh. Rais kisha awakabizi, maana wakizila watazitapika kama anavyosema mwenyewe.
 
hapo kweli asee Mzee lazima atauliza zimetumikaje..
 
Habari zenu mashabiki wa Simba, Hongerezi kwa ushindi mzuri tulio upata jana.. do or die imefanya kazi.

Wakati mechi inaendelea jana na baada ya mwamba wa lusaka kufanya yake kuna vitu nilikuwa natafakari na nikaona kwa ujumla vina faida sana kwa club yetu pendwa ya simba endapo tutaamua kuvifanyia kazi.

Pamoja na kuwa na muwekezaji simba ni timu ya wanachama na ina mashabiki wengi Tanzania bara na visiwani. Simba ina project ya kujenga uwanja ambapo ni muda mrefu tulipewa taarifa kwamba utakamilika hata kwa uwanja wa mazoezi lakin hadi leo ni kimya.

Sisi kama wanachama na mashabiki wa simba mchango wetu ni upi katika ujenzi wa uwanja, Nikaona ni vizuri kama Viongozi wa simba wakiamua kutuchangisha mashabiki ili zoezi hili likamilike kwa haraka na tuwe na uwanja wetu. na hii inawezekana sana kutokana na matokeo mazuri inayopata na malengo ambayo yanaonekana.

Mchanganuo ambao niliufanya kwa juu juu nilichukulia kila mkoa uwe na mashabiki laki mbili (200,000) ukichukulia mikoa mikubwa ambayo inaweza kufikia idadi hiyo ni 26 hivyo kwa Tanzania tuchukulie mashabiki wa simba ni milioni tano na laki mbili (5,200,000). (idadi hiyo inaweza kuzidi)

Kila mshabiki kwa mwezi achangie shilingi elfu moja mia tano tu (1,500) kwa mwezi mzima tutakuwa tumechanga bilioni saba na milioni mia nane (7,800,000,000) hivyo kwa mwaka mzima miezi 12 tutakuwa tumechanga bilioni tisini na tatu na milioni mia sita (93,600,000,000) ukijumlisha na vyanzo vya mapato ya simba pamoja na fedha ya muwekezaji tutajenga uwanja mkubwa sana na kuwa moja ya viwanja vizuri Afrika, Ni uongozi wa simba kuamua kusuka au kunyoa.

Wewe kama mdau wa simba nini maoni yako..?

View attachment 1047904
Naunga mkono hoja yako ungeandaliwa utaratibu maalum tungefika Mbali sana

Uliyosema ni mazuri lakini kumbuka kua simba imebadilisha mfumo wa uendeshaji. Wanachama wanatakiwa wanunue hisa, ilo kwa maoni yangu linaweza kuleta mpasuko ndani ya timu

Hicho nilicho kisema ni nje kabisa na mfumo ulio kuwepo maana kuna wanachama na washabiki, kama tuliweza kwenda bunju kufyeka nyasi tutashindwa kuchangia, hakita tokea chochote mkuu.
 
Hizi timu zingeuzwa tu zitoke mikononi mwa wanachama. Wauziwe watu kama kina Mo ziendeshwe kibiashara.

Timu ipo tangu miaka ya kale huko hadi leo haina hata kiwanja.
 
Huwa najiuliza ni kwa nini nashindwa kupata jibu..
 
Timu hizi bila shaka zinaendeshwa kwa blah blah nyingi.

Wakawaone Mazembe wanavyoendesha timu yao kibiashara. Wanauza jezi wanapata pesa. Hivi simba na yanga huwa wanauza jezi kweli?

Me nafikiri suluhisho ni kuzitoa mikononi mwa wanachama na kuziuza kwa watu binafsi ili ziendeshwe kibiashara. Wakiona zina faida utashangaa matajiri wanazikimbilia hadi zile timu ndogo kabisa na kuziinua.
 
Back
Top Bottom