Ni wakati wa mapambano, sio kipindi cha kudai fedha za posho

Egnecious

JF-Expert Member
Jul 8, 2015
875
960
"Waambieni wanaCCM wote na mashabiki wa CCM, kipindi hiki cha uchaguzi ni kipindi cha mapambano, sio kipindi cha kudai fedha za posho, tukianza kulipana posho kipindi hiki tutashindwa mapema."

Dkt. Bashiru
Katibu Mkuu Wa CCM
IMG_20191007_132726_926.JPG
 
Ila jamani tuacheni utani na tuwe serious, nani aende akapange foleni juani? Kwa lipi? Yaani mtu anapigana ulingoni mwenyewe halafu sisi tupige kura kuchagua mshindi?
 
Ila jamani tuacheni utani na tuwe serious, nani aende akapange foleni juani? Kwa lipi? Yaani mtu anapigana ulingoni mwenyewe halafu sisi tupige kura kuchagua mshindi?
Wanaoenda kupanga foleni ni kwamba wengi wao ni illiterate na hawajui walitendalo. Mtu unapoteza masaa matatu yote ukipigwa na jua bila sababu ya msingi? si bora mtu ukachanganye zege upate elfu tano ya kuwalisha watoto.
 
Back
Top Bottom