Tunatoa huduma za uchimbaji wa visima

mwagito25

JF-Expert Member
Aug 11, 2013
633
350
PUNGUZO LA BEI KWA UCHIMBAJI WA VISIMA VIREFU.

Tunatumia mashine za kisasa na huduma zetu ni bora. Tunapomaliza tunahakikisha maji yanatoka na unaanza kutumia.

Pia tunafanya survey ya kujua upatikanaji wa maji kwa bei nafuu kabla ya kuanza kuchimba.

Tunafunga pump pamoja na mabomba kwenye visima.

..Habari yoyote kuhusiana na visima tafadhali usisite kuwasiliana nasi.

TUNA-FLASH VISIMA , NA KUFANYA MAREKEBISHO YOYOTE YANAYOHUSIANA NA KISIMA.

GHARAMA ZA UPIMAJI NI 500,000/= -1,000,000/= (KULINGANA NA UMBALI NA MAZINGIRA)

GHARAMA ZA KUCHIMBA KWA MITA MOJA NI 65000/= - 170,000/= (INATEGEMEA MAZINGIRA NA AINA YA VIFAA VITAKAVYOHUSIKA).

NB: USHAURI NA MAELEZO NI BURE.

KARIBUNI SAANA, POPOTE TUNAFIKA.

MAWASILIANO::: 0682276767 au WhatsApp 0752925925.
View attachment 1692802
 
Kisima kisima kisima. Chimba kisima chako kwa bei nafuu kabisa kwa matumizi ya kilimo, mifugo na matumizi mengine.

Karibu upate huduma yenye thamani ya pesa yako bila kujutia.

Mawasiliano: 0752925925/0682276767 .
Karibu saana
IMG_20200804_092531-1.jpg
IMG_20200804_173603.jpg
 
HABARI NJEMA: Bado hujachelewa karibu tukuchimbie kisima ili upate maji ya uhakika na hautajutia maamuzi yako maisha yako yote hapa duniani.
 
Weka mchanganuo wa gharama za uchimbaji
Mchanganuo upo katik hatua zifuatzo.

1- kupima upatikanaji wa maji. (Gharama hutegemea umbali na miundombinu yake ya kufika eneo hilo)

2- uchimbaji wenyewe( baada ya upimaji, tathmini ya gharama hufanyika kisha mteja atapaswa kulipa kiasi fulani cha fedha kabla ya kuchimbiwa, hatimaye kazi ikiwa mwishoni anamalizia malipo. Pia hili hutemea mazingira ya makubaliano.)

3-ufungaji wa pump, baada ya maji kupatikana , mteja atafungiwa pump ambayo yeye ataiweza kuinunua. (Gharama za vifaa hubadilika kutokana na msimu husika na hali ya soko)

4-Majaribio ya utokaji wamaji, baada ya pampu kufungwa , fundi atajaribu kuona ni kwa hali gani maji yanatoka mbele ya mteja.

5-Makabidhiano- mteja hukabidhiwa kisima na maji yakiwa yanatoka na tayari kwa matumizi.

NB: UJENZI WA VIFAA(MIUNDOMBINU YA MAJI) HII HUTEGEMEA MAAMUZI YA MTEJA.

Asante, karibu kwa maswal zaidi.
 
Mwenzio kaomba Mchanganuo Wa gharama za uchimbaji, wewe unampa hatua za Uchimbaji na makabidhiano
 
Mwenzio kaomba Mchanganuo Wa gharama za uchimbaji, wewe unampa hatua za Uchimbaji na makabidhiano
Kweli, lakini nimetumia mchanganuo ili kama yeye specifically kutokana na alipo aniambie nimwambie gharama, kwa sababu mtu wa kigoma na mtu kagera gharama haziwez kufanana.

Kwa mfano naweza toa mchanganuo wa sehemu ambayo havilingani na yeye alipo.

Naomba nieleweke hvyo, kwa hiyo ukitaka mchanganuo wako nitafute kwa namba niliyoiandika 0682276767 nikupigie nikieleze kwa vocha yangu.

Asante
 
Sawa Mkuu.
 
Mchanganuo wa gharama kwa mtu alie morogoro mjini, mnapima kwa sh ngap, mnachimba mita kwa sh ngap, n.k
Kupima na kuandaa ripoti ya upimaji ni 600,000/= na kuchimba+UPVC ni 80000/1M na kma bila UPVC ni 60/1M.

Karibu mkuu
 
Kumekucha , tunamshukuru MUNGU.

Huduma zetu za uchimbaji visima zinaendelea bila kupumzika.

Karibu uhudumiwe nawe ujipatie kilicho bora kabisa cha thamani ya pesa yako.

Kama una swali au jambo lolote karibu.
Namba ya simu ipo hapo juu, nichek nakupigia
 
Hakuna kulala, ni mwendo wa kupambana mpka Mungu anatuchukua.

kama kuna jambo ulishau kuuliza kuhusu kisima karibu.
Pia waweza wasiliana nasi kwa 0682276767...

Huduma zetu ni za uhakika
 
Inasemekana ukichimba popote pale unapata maji ilimradi uweze kumudu gharama? Ni kweli
Huo sio utaratibu, kupima kwanza ndio utaratibu, kwa sababu husaidia kuwa na uhakika wa kazi, kujua aina ya vifaa vya kutumia. Pia upimaji hisaidia kujua makadirio ya gharama ya kazi. Husaidia mteja kutopata hasara zisizokuwa za msingi.

SURVEY NI LAZIMA KABLA YA KUCHIMBA, INGAWAJE KUNA WATU WANAFANIKIWA BILA KUPIMA NA WAPO WANAOPATA HASARA KWA KUTOKUPIMA. HIVYO NAKUSHAURI UPIME ILI KUEPUKA KUIBIWA NA KUPATA HASARA.

ASANTE KARIBU TUKUHUDUMIE
 
Bado nafasi ya kujipatia huduma bora kabisa ya kisima ipo. Maji ya uhakikankwa matumizi yote
 
Weekend njema kwa ajili ya kujipatia taarifa kuhusu uchimbaji wa visima. Karibu tuongee ili ujipatie suluhu kuhusu maji ya kudumu
 
Back
Top Bottom