Ni wakati wa kusambaza mitandaoni "clip" ya Mkulu akiwaonya wateule wake kutowatangaza wapinzani washindi

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,013
144,371
Hii kauli imekuwepo kwa muda sasa na majuzi Mbowe kairudia hadharani na kutamka kuwa "Mkulu" ndio aliitoa kwa wateule wake.

Ni wazi hii kauli aliitoa na ndio maana Mbowe mpaka leo hajaitwa kuhojiwa na hata ofisi yenyewe ya Mkulu haijakanusha au kutoa ufafanuzi wowote.

Si hivyo tu,hata yule msemaji wa sirikali nae hatujamuona akijitokeza mbele ya waandishi kupinga kauli ya Mbowe kama anavyofanya kwa mambo mengine.

Hivyo,itakuwa bora hiyo clip itafutwe kwa udi na uvumba na isambazwe mitandaoni ili ambao hawakusikia na wao wasikie.

Silence means yes
 
Ha ha ha...mmeishiwa hoja sasa.
Mkurugenzi asiyetekeleza wajibu wake ni wazi itaigharimu serikali na kufanya Upinzani ushinde.
Kwa kuwa watendaji wote wanatakiwa kutekeleza ilani ya ccm ni lazima wapambane kufa na kupona ili maendeleo yaonekane na ccm iendelee kushinda.

Wakurugenzi waliotangaza wapinzani kushinda kwenye maeneo yao ni wazi wametangaza udhaifu wa utendaji wao hadi kupelekea majimbo hayo kuwachoka CCM.

Hii ndio maana ya maneno ya Rais Magufuli.

Sasa lete hiyo clip iliyotamkwa kama unavyotaka kutuaminisha na iwe ni kipindi cha Uchaguzi.
 
mkuu kwani mbowe kabadilika ile tabia yake ya unafiki na uongo kaacha mpaka umuamini? LOWASA NI FISADI, GIA ANGANI ETC
 
Hii kauli imekuwepo kwa muda sasa na majuzi Mbowe kairudia hadharani na kutamka kuwa "Mkulu" ndio aliitoa kwa wateule wake.

Ni wazi hii kauli aliitoa na ndio maana Mbowe mpaka leo hajaitwa kuhojiwa na hata ofisi yenyewe ya Mkulu haijakanusha au kutoa ufafanuzi wowote.

Si hivyo tu,hata yule msemaji wa sirikali nae hatujamuona akijitokeza mbele ya waandishi kupinga kauli ya Mbowe kama anavyofanya kwa mambo mengine.

Hivyo,itakuwa bora hiyo clip itafutwe kwa udi na uvumba na isambazwe mitandaoni ili ambao hawakusikia na wao wasikie.

Silence means yes
Na ndipo wanaijielewa wakiondoka wanaonekana wasaliti si kila mwanachama wenu hana uwezo wa kufikiri,zipo njia nyingi za kuwakilisha lkn kuishi kutokana na matukio halitasaidia ikiwa mlitegemea kupigwa risasi mngepata majimbo yote na kiki mpaka 2020 mambo yakawa kinyume,tembeeni na hilo tuone mwisho wake ila humohumo mwenu Mchele utajitenga na chuya.
 
Wakurugenzi waliotangaza wapinzani kushinda kwenye maeneo yao ni wazi wametangaza udhaifu wa utendaji wao hadi kupelekea majimbo hayo kuwachoka CCM.

Kwa hiyo ni sahihi wapinzani wakishinda mkurugenzi asiwatangaze kuwa wameshinda, awatangaze CCM walioshindwa kuwa wameshinda.
Sawa wamekuelewa.
 
Ha ha ha...mmeishiwa hoja sasa.
Mkurugenzi asiyetekeleza wajibu wake ni wazi itaigharimu serikali na kufanya Upinzani ushinde.
Kwa kuwa watendaji wote wanatakiwa kutekeleza ilani ya ccm ni lazima wapambane kufa na kupona ili maendeleo yaonekane na ccm iendelee kushinda.

Wakurugenzi waliotangaza wapinzani kushinda kwenye maeneo yao ni wazi wametangaza udhaifu wa utendaji wao hadi kupelekea majimbo hayo kuwachoka CCM.

Hii ndio maana ya maneno ya Rais Magufuli.

Sasa lete hiyo clip iliyotamkwa kama unavyotaka kutuaminisha na iwe ni kipindi cha Uchaguzi.
Mkuu mbona unaongea kama hauna kichwa unatumia tumbo na makalio kufikiri nini? Wengine tu CCM ila hatujafikia huko, serikali inafanya kazi kwa mjibu wa taratibu na sheria za nchi.

Utakuwa miongoni mwa wapuuzi waliobaki huku CCM fanya kuhamia huko CHDM hautufai kwa CCM ninayoiona inazaliwa.
 
Hii kauli imekuwepo kwa muda sasa na majuzi Mbowe kairudia hadharani na kutamka kuwa "Mkulu" ndio aliitoa kwa wateule wake.

Ni wazi hii kauli aliitoa na ndio maana Mbowe mpaka leo hajaitwa kuhojiwa na hata ofisi yenyewe ya Mkulu haijakanusha au kutoa ufafanuzi wowote.

Si hivyo tu,hata yule msemaji wa sirikali nae hatujamuona akijitokeza mbele ya waandishi kupinga kauli ya Mbowe kama anavyofanya kwa mambo mengine.

Hivyo,itakuwa bora hiyo clip itafutwe kwa udi na uvumba na isambazwe mitandaoni ili ambao hawakusikia na wao wasikie.

Silence means yes
Ha ha labda uende kwa kamanda Joshua N, mzee wa flash
 
Yaani ofisi ya mkulu ikanushe kila analoongea Dj?? Hauko serious mkuu.
 
MKUU, HAITASAIDIA, KAMA MTU ALIMTISHA MWENZIE MGUU WA KUKU HADHARAN, NA HAJAFANYWA CHOCHOTE UNATEGEMEA NINI?
 
Mkuu mbona unaongea kama hauna kichwa unatumia tumbo na makalio kufikiri nini? Wengine tu CCM ila hatujafikia huko, serikali inafanya kazi kwa mjibu wa taratibu na sheria za nchi.

Utakuwa miongoni mwa wapuuzi waliobaki huku CCM fanya kuhamia huko CHDM hautufai kwa CCM ninayoiona inazaliwa.

Vipi tena? Jamaa anafungua lile kabati maalum , ambalo halitakiwi kufunguliwa ovyo ovyo?
 
Yaan ww kwisha kabisa umebaki kubwabwaja tu .
Lichama lako wamekuwa machangudoa wanajiuza na wananunuliwa..
 
Back
Top Bottom