Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 46,985
- 144,312
Hii kauli imekuwepo kwa muda sasa na majuzi Mbowe kairudia hadharani na kutamka kuwa "Mkulu" ndio aliitoa kwa wateule wake.
Ni wazi hii kauli aliitoa na ndio maana Mbowe mpaka leo hajaitwa kuhojiwa na hata ofisi yenyewe ya Mkulu haijakanusha au kutoa ufafanuzi wowote.
Si hivyo tu,hata yule msemaji wa sirikali nae hatujamuona akijitokeza mbele ya waandishi kupinga kauli ya Mbowe kama anavyofanya kwa mambo mengine.
Hivyo,itakuwa bora hiyo clip itafutwe kwa udi na uvumba na isambazwe mitandaoni ili ambao hawakusikia na wao wasikie.
Silence means yes