Ni wakati wa kusambaza mitandaoni "clip" ya Mkulu akiwaonya wateule wake kutowatangaza wapinzani washindi

mbona rahisi tu hapo.
kama mbowe kasema hiyo kauli atuwekee clip yake aliyoisikia na sisi tufaidike. .
 
Ha ha ha...mmeishiwa hoja sasa.
Mkurugenzi asiyetekeleza wajibu wake ni wazi itaigharimu serikali na kufanya Upinzani ushinde.
Kwa kuwa watendaji wote wanatakiwa kutekeleza ilani ya ccm ni lazima wapambane kufa na kupona ili maendeleo yaonekane na ccm iendelee kushinda.

Wakurugenzi waliotangaza wapinzani kushinda kwenye maeneo yao ni wazi wametangaza udhaifu wa utendaji wao hadi kupelekea majimbo hayo kuwachoka CCM.

Hii ndio maana ya maneno ya Rais Magufuli.

Sasa lete hiyo clip iliyotamkwa kama unavyotaka kutuaminisha na iwe ni kipindi cha Uchaguzi.
Kumbe jina lako linamaanisha akili yako? Kwa hiyo ccm hata wakisimamisha mwenye akili ya kuku wananchi lazima wamchague? Kwani mkurugenzi anahusikaje na uteuzi ndani ya ccm?
Wewe ni wakuweka kwenye ignored list!
 
Tunasubiri gazeti lolote liandike huo Upuuzi wenu wa kutunga mitandaoni, waambiwe watoe ushahidi na wakishindwa wapigwe kitanzi miezi mitatu au moja kwa moja, nyie kila mnaloletewa mitandaoni bila kufikiri mnaamini tu.January mwaka huu watu waliaminishwa JPM kasema atakaye survive Dar es salaam mpaka July ni mwanaume watu wakaamini, mpaka leo hakuna aliyeweza ku prove kama ni kweli.Hata hili ni uongo mtupu.
 
Back
Top Bottom