Ni Wakati wa Kudai Tume Huru ya Uchaguzi

RockCarnegie

JF-Expert Member
Jan 17, 2019
890
1,000
Habari nɗugu wana JF

Ni ukweli kuwa ili nchi na taifa letu lisitawi linahitaji uongozi bora. Na uongozi wa taifa letu unapatikana kupitia chaguzi mɓalimɓali ili kupata viongozi wa vijiji na mitaa, maɗiwani, waɓunge na rais.

Maenɗeleo ya kiuchumi, kisiasa, kijamii tuliƴonaƴo ni picha halisi ƴa viongozi tuliotangaziwa na Tume yetu ya Uchaguzi kuwa wao nɗiƴo tuliowachagua.

Sisi wote ni mashaidi wa jinsi hali ƴa uchumi ilivƴo mbaƴa, ɗemokrasia na haki za binadamu zinavƴokanƴagwa nk. Haƴa ƴote ni matokeo ƴa viongozi tuliotangaziwa kuwa tumewachagua sisi.

Tunaelekea ƙwenƴe uchaguzi mkuu wa mwaka 2020, muunɗo wa Tume ƴa Uchaguzi kwa asilimia ƙubwa unawapa uhakika viongozi wa sasa kuendelea ƙutawala hata kama wananchi watawakataa kwenƴe sanɗuku la kura.

Siku chache zilizopita Spiƙa wa Bunge alisiƙa akitoa kauli ƙuwa Zitto Kabwe hawezi kuwa Rais wa Tz, pia alimwambia John Heche kuwa hataruɗi ɓungeni awamu ijaƴo!

Kauli hizi si za bahati mbaya, ni ƙuwa kuna genge la watu waliojipanga kuamua ni nani awe rais, mbunge au ɗiwani wetu. Uchaguzi kwao ni namna ƴa ƙuiaminisha tu dunia kuwa tuna demokrasia kumbe ni uhuni.

Uchaguzi mƙuu uliopita na chaguzi nɗogo zilifuata baaɗaye ni uthibitisho tosha kuwa Tume ya Uchaguzi si huru hata kidogo!

Pamoja na juhuɗi kubwa inaƴofanƴwa na mwanademokrasia na mpigania haki za binadamu mahiri Mh. Tunɗu Lissu za kuiweka Tanzania katika uangalizi wa jicho la kimataifa, ɓado watanzania hawatakiwi kulala, ni wakati wa kuamka na kudai Tume Huru ƴa Uchaguzi ƙwa nguvu zaidi na mbinu mbalimɓali.

Jukumu hili ni la watanzania wote si la ƙuachiwa vƴama vƴa siasa pekee. Vƴama vƴa siasa vinaweza kutuongoza kufikia malengo.

Mbinƴo wa Jumuiya za kimataifa dhidi ƴa ukatili ukosefu wa haki za binadamu , demokrasia na utawala bora utakuwa na matokeo chanƴa pale tu tutakapotimiza wajiɓu wetu kuionƴesha ɗunia kuwa maouvu ƴanaƴotenɗeka, hatuyapenɗi na hatuƴataki.

Shime watanzania tudai Tume Huru ƴa Uchaguzi, wakati sasa.

No Easy Walk to Freeɗom!
 

Mpinzire

JF-Expert Member
Jan 18, 2013
2,239
2,000
Hata ikiitwa tume huru ya uchaguzi bado upinzani hautoshinda Tanzania! rejea kenya hapo kwa Kenyata mpaka Odinga kachemka kabisa.
 

Aikambee

JF-Expert Member
Sep 27, 2017
4,057
2,000
Na ndiyo ujinga wa upinzani.

Mnasubiri uchaguzi ufike ndiyo mnaanza kudai time.

2019 na 2020 ni uchaguzi, serikali za mitaa na uchaguzi mkuu.

Mna nini sijui hahahaha
 

RockCarnegie

JF-Expert Member
Jan 17, 2019
890
1,000
Hata ikiitwa tume huru ya uchaguzi bado upinzani hautoshinda Tanzania! rejea kenya hapo kwa Kenyata mpaka Odinga kachemka kabisa.
Hata kama kama siƴo upinzani ƙushinɗa, wabunge na maɗiwani wawe wengi kutoka upinzani.

Bunge likiɓaki kuwa la ƙina Musukuma na Nɗugai ni zaidi ƴa hatari!
 

RockCarnegie

JF-Expert Member
Jan 17, 2019
890
1,000
Na ndiyo ujinga wa upinzani.

Mnasubiri uchaguzi ufike ndiyo mnaanza kudai time.

2019 na 2020 ni uchaguzi, serikali za mitaa na uchaguzi mkuu.

Mna nini sijui hahahaha
Ujinga huu ni pamoja na wewe! Tume Huru ya Uchaguzi si kwa faiɗa ƴa Upinzani, ni ƙwa usitawi wa taifa letu.

Wewe unafaidika nini na ukatili waofanƴiwa watanzania wemzako kisa wana mawazo tofauti na watala!?

Ni akili za kinƴama tu ndizo zinaweza kushangilia mfumo kanɗamizi.

Tujenge jamii ƴa watu wanaopenɗana na wasitaarabu.
 

mkaruka ataja rinu

JF-Expert Member
Aug 27, 2016
2,088
2,000
Sisi wananchi hatuna shida na Tume ya Uchaguzi,hayo ni madai ya Wanasiasa kwa maslahi yao. Mimi mwananchi wa kawaida ukiniuliza ni kipi nidai nitakwambia,1- Wabunge wapunguziwe mishahara na posho wanazolipana Bungeni ili pesa hizo zisaidie kuimarisha huduma za jamii ikiwemo afya,elimu,miundombinu nk,2- Wabunge walipe kodi(PAYE) kama tunazolipa sisi wananchi wa kawaida,lakini haya mengine ya Tume Huru ni kwa manufaa yao wanasiasa lkn si kwa manufaa ya wananchi wa kawaida.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom