Ni wakati wa immigration Tanzania kuwa makini na Kenya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni wakati wa immigration Tanzania kuwa makini na Kenya

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Anyisile Obheli, Apr 21, 2010.

 1. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #1
  Apr 21, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Baada ya wakenya kuwekewa hatua ngumu za kuingia nchini U.A.E
  sasa Tanzania kitengo cha uhamiaji kiwe makini na raia hawa jirani
  kulichafua Taifa letu kwa kufoji passport zetu na kuingilia nchini humo.
   
 2. Mwana wa Mungu

  Mwana wa Mungu JF-Expert Member

  #2
  Apr 21, 2010
  Joined: Aug 14, 2008
  Messages: 1,007
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  hata wakifoji passport, kiswahili chao ni tosha kugundulika.
   
 3. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #3
  Apr 22, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  ni kweli lakini sasa si watakuwa wametuchafua? unajua hawa jamaa
  kwa tabia sasa wameanza kufanana na wasomali
   
 4. RRONDO

  RRONDO JF-Expert Member

  #4
  Apr 22, 2010
  Joined: Jan 3, 2010
  Messages: 25,831
  Likes Received: 20,819
  Trophy Points: 280
  watafoji au watakuja na mtawauzia wenyewe?
   
 5. bona

  bona JF-Expert Member

  #5
  Apr 22, 2010
  Joined: Nov 6, 2009
  Messages: 3,796
  Likes Received: 167
  Trophy Points: 160
  inatakiwa uzi uwe uleule, bila degree bye bye!
   
 6. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #6
  Apr 22, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  hilo nalo neno kumbe kuna uwezekano askali wa uhamiaji wakaanza kuongeza

  wake na kumalizia vibanda vyao eeee! maana pasipoti za Tanzania sasa

  kuwa juu kwenye soko la vichochoroni
   
 7. N-handsome

  N-handsome JF-Expert Member

  #7
  Apr 22, 2010
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,317
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  Mbona wanazo tiyari
   
 8. M

  Malila JF-Expert Member

  #8
  Apr 22, 2010
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Bongo ni tambalale.
   
 9. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #9
  Apr 22, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  maisha bora kwa kila jirani,.....heheeee! uuuuwiiii,
   
 10. M

  Malila JF-Expert Member

  #10
  Apr 22, 2010
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Juzi si umesikia tumepewa misifa ya kuwapa uraia jirani kibao? ukitaka cho chote bongo wewe njo tu. Mpende jirani yako kama nafsi yako. Hata Waziri wao mkubwa zamani si alitumia passport ya Tanganyika kwenda majuu,kwa hiyo hawajaanza/hawataanza leo.
   
 11. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #11
  Apr 22, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  kweli mkuu hii ni soo, maana hawa jamaa ni hatari, naona nchi yao ni kiini
  macho, pengine utakuwa ni mkoa katika Tanzania, ama tanzania ni mkoa wa chi ya kenya...
   
 12. Sal

  Sal JF-Expert Member

  #12
  Apr 23, 2010
  Joined: Jan 14, 2008
  Messages: 500
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  faze/maze mimi nimTz..!! teh teh...!!! hiyo inatosha kumjua si m'bongo
   
 13. M

  Magezi JF-Expert Member

  #13
  Apr 23, 2010
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Watanzania tujitahidi tu ktk kufanya kazi kwa bidii na kusoma kwa bidii na kusomesha watoto wetu vizuri hawa jirani zetu tutawamudu tu.
   
 14. Kobe

  Kobe JF-Expert Member

  #14
  Apr 23, 2010
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 1,756
  Likes Received: 361
  Trophy Points: 180
  SURE Magezi kwani wao wamewezaje sie tushindwe?
  Tuwabane huku na sisis tukijiimarisha,hiyo ni nafasi nzuri sana kwetu kuitumia inavyopaswa.
   
 15. M

  Mwanitu JF-Expert Member

  #15
  Apr 26, 2010
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 634
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 80
  Mkuu,
  Mi naona tungeanza kwa kudhibiti Rushwa kwanza.Rushwa itaua Morali ya kufanya kazi.
  Rushwa itatuletea Waalimu Majirani wenye Vyeti vya kufoji.
  Rushwa itarudisha nyuma mapato ya taifa,na kwa hiyo maendeleo ya taifa kwa ujumla.
   
Loading...