Ni wakati sasa wa serikali kulazimisha makampuni makubwa kudhamini michezo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni wakati sasa wa serikali kulazimisha makampuni makubwa kudhamini michezo

Discussion in 'Sports' started by Kiranja Mkuu, Aug 8, 2012.

 1. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #1
  Aug 8, 2012
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Muda huu wa mchakato wa katiba mpya wananchi tuitake katiba yetu itamke kuwa yenyewe na makampuni makubwa yatadhamini kujenga na kuendeleza michezo mbalimbali ili taifa letu lisiendelee kuwa kichwa cha mwendawazimu
   
Loading...