johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 82,750
- 139,532
Ninachompendea Tundu Lissu ni ukweli kuwa hana ubishoo anapotekeleza majukumu yake kama mwanasheria.
Kwa sasa taifa linahitaji wanasheria ving'ang'anizi na wenye kujiamini ili kupambana na hawa mabeberu wanaotumia mahakama kutufisadi.
Ninajua Polepole amefanya jukumu kubwa la kuwaleta watu wenye " tija" CCM hivyo haitakuwa shida sana kumleta mtu mwenye " weledi" chamani kwani vipaji vya kitaifa ni lazima tuvienzi.
Kila nikikumbuka siku Tundu Antipas Lisu alipotinga Ikulu kwa mwaliko wa mstaafu Kikwete, akiwa amebeba ile mikoba ya " Kijamaa" huwa nafarijika sana. Yawezekana kabisa kipaji cha Lissu kinatumika visivyo pale Chadema kama ilivyokuwa kwa Prof Kitila, tumlete CCM atumike positively.
Kwako komredi.
Maendeleo hayana vyama!