johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 94,044
- 164,342
Mizaha imekatazwa ktk vitabu vya dini na viongozi wanaoendekeza mizaha hupofushwa macho ya rohoni.Leo viongozi wetu tena wengine mawaziri wanaingizwa ktk mambo ya kipuuzi kabisa na msanii wa vichekesho nao wamekaa kimya bila kukemea.Hali hii imeleta tafsiri tata juu ya maadili ya viongozi hawa hasa baada ya mchekeshaji huyo kuongea na waandishi wa habari.Niwaombe sana viongozi wetu achaneni na mizaha, waswahili husema "mzaha mzaha huzaa usaa" sasa jirekebisheni kabla mtumbuaji hajawapiga jicho, chukua tahadhari kabla ya hatari!