Kama mada inavyosema, ifike mahali tuwe na road Toll.Ikiwekwa Tsh elf30 kwa mwezi yaani Tsh 1000 kwa siku tutapata pesa nyingi. Hii iwe kwa kila gari na pikipiki iwe Tsh elf15 yaani Tsh 500 kwa siku. Lakini pia askari wa Polisi wawe ma kazi ya kusimamia sheria tu. Nina uhakika Tsh 30000 na 15000 zikikikusanywa kwa mwezi haitakua na ulazima wa Road Lisence.
Naomba kuwasilisha.
Naomba kuwasilisha.