Uncle Jei Jei
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 1,684
- 2,157
katika tamko la CHADEMA kuhusu makinikia, katibu mkuu wa chama hicho amemsihi Rais kusikiliza na kufanyia kazi baadhi ya ushauri kutoka kwa wapinzani
"2.3. Rais Magufuli hatafaulu vita hii kama Serikali yake itaendelea na utamaduni wa kutubagua na au kutosikiliza sauti za upande wa pili, ni vyema akajua kuwa hata Ilani ya Chama chake uk.26..28 haikuzungumzia kabisa hoja za mikataba na sheria za madini kuhitaji kurekebishwa au kuandikwa upya" .
Hakika hii ni kauli ambayo Mh. Rais hapaswi kuipuuza hasa ukizingatia mipasho ya wabunge pande zote wawapo bungeni! Nakumbuka enzi za Anna Makinda ilikuwa ikifika mijadala hot ya sheria (isiyo na maagzo lakini) ushauri wa Tundu Lissu aliuzingatia sana.
Rais akumbuke kuwa wabunge wengi wa chama chake hawawekezi muda wao mwingi katika kusoma nyaraka mbali mbali za serikali! hili unaweza kuliona wakiwa wanachangia mijadala mbali mbali huwa hawana rejea kama wafanyavyo wapinzani.