Ni wakati mwafaka kuanzisha wizara au taasis ya uchawi. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni wakati mwafaka kuanzisha wizara au taasis ya uchawi.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Gama, Jul 16, 2011.

 1. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #1
  Jul 16, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  Wana JF, naona kama jamii ya watanzania inatumia juhudi nyingi kuonesha kuwa haijihusishi na uchawi, hata hivyo katika njia isiyo rasmi inaonesha kuwa watanzania tuna-practice uchawi.

  1. Ajari mbaya ya gari inayohusisha vvifo huelezwa kuwa ni kafara ya matajiri.

  2. Mauaji ya albino yamehusishwa kwa kiasi kikubwa na imani za kishirikina na baadhi ya wanaodiwa kuwa waganga wa kienyeji(washirikina) wameshikiliwa na polisi.

  3. baadhi ya matendo ya kunajisi na kulawiti watoto wadogo yamehusishwa na ushirikina.

  4. Baadhi ya magazeti ya vibonzo yamekuwa yakisanifu vibonzo vya viongozi wa kisisasa wakienda kwa washirikina ili kufanikiwa kisiasa na kimadaraka.

  SASA, kama tunania ya wazi ya kupambana na matukio maovu yanayosababishwa na imani na matumizi ya imani ya kishirikina ktk inchi yetu tuanzishe wizara ama taasis ama baraza la wachawi. Nawatakia wikiend njema.
   
 2. Maalim Jumar

  Maalim Jumar JF-Expert Member

  #2
  Jul 16, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,443
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  ushirikina na uchawi ni vitu tafauti.
  Pia hili la kichawi au ushirikina ni mambo ya kiimani...sasa serikali inasema haina imani. Sheria zao nyingi pia zinaangalia sana imaan.
  Ndio maana hata suala la talaka za kidini ukienda mahakamn wanasikiliza. Kuhusu uchawi ipo sheria yake wichcraft act. Labda wana taaluma za sheria watusaidie.
  Pale udsm kuna hicho kitengo wanasomea japo imejificha wao wanasema watafiti wa mambo gani hata sijui/nmesahau.
  Kitivo cha socialogy.
   
 3. f

  fazili JF-Expert Member

  #3
  Jul 16, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 1,192
  Likes Received: 405
  Trophy Points: 180
  uchawi/ushirikina ni tatizo kubwa siku hizi hata hapa Ulaya na America huwezi kuamini hata watoto wadogo sasa wanafanya uchawi hapa! Lakini UKWELI ni kwamba YESU NDIO KIBOKO YAO!!!!. Nimeshuhudia katika mengi BWANA YESU APEWE SIFA. AMEN
   
 4. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #4
  Jul 16, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Pia safar za ungo ziruhusiwe na ikulu ukae mmoja ili tupungize gharama za mafuta kwenye jet ya RAIS,nadhan na traffic jam itapungua kwa dar
   
 5. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #5
  Jul 16, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Tatizo Phd , maprof wetu waote wanafanya tafiti ambazo hawiezei kuletachange kwenye dunialet alone tanzania . Ni kama tafiti nyingi ni cpy and paste tu toafuti ni mazingira.

  Haya mambo ya uchawi ni area amabyo sijui wasomi wanaoogopa nini ufanya utafiti. Japo naamini katika dini nadhani serikali haitakiw kugopa kurushu na ku fund research ua ambo ya uchawi.
   
 6. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #6
  Jul 16, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,523
  Likes Received: 1,702
  Trophy Points: 280
  Mleta thread utakuwa Mchawi tu. Peleka idea yako kwenu Msoga sio hapa jamvini
   
 7. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #7
  Jul 17, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
 8. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #8
  Jul 17, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Ivi unajua kuna watu wana uwezo wa kushusha mvua,tena mtera ikajaa kwa sekunde na mafuriko juu!
  Naona kuna haja ya kufanya tafiti juu ya haya mambo ya kishirikina sometimes yanalipa sana!
   
 9. sblandes

  sblandes JF-Expert Member

  #9
  Jul 17, 2011
  Joined: Apr 25, 2010
  Messages: 2,467
  Likes Received: 790
  Trophy Points: 280
  Nauna tunarudi BC
   
 10. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #10
  Jul 17, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Mleta mada naic anaish huko
   
 11. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #11
  Jul 17, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  Bajabir, naona wewe unaishi ulimwengu ujao kwa hiyo yanayosemwa huyaoni: mathalan: mbunge alionekana akinuunyiza vitu ndani ya ukumbi wa bunge, hatukupata tafsiri rasmi. Tafisiri isiyi rasmi unayowewe.
   
 12. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #12
  Jul 17, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  Ala, kumbe unaamini kuwa msoga kuna uchawi, kwa hiyo unaamini kuwa wachawi wapo lakini hutaki tuzungumzie?!
   
 13. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #13
  Jul 17, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  Hivi unajua kuwa baadhi ya nchi za Ulaya huwatoza kodi wanaojihusisha na shughuuli za namna hii?!. Upitapo brbrn angalia utitiri wa matangazo ya waganga wa kienuyeji, kuwepo kwao maana yake kuna wateja- inawezekana wewe ni mmoja wao lakini hutaki serikali iliangalie hili.
   
Loading...