ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,543
Kwa hali ilivyo ni muhimu sasa kwa umoja wa mataifa kupeleka vikosi katika miji mikubwa ya afrika kusini kulinda amani maana mgogoro huu unazidi kutanuka na kuzidisha chuki dhidi ya raia wa afrika kusini walio sehemu nyingi duniani hasa nchi za afrika
Clip iliosambaa inayomwonyesha mwanamke wa ki south alivyodhalilishwa huko mtaani Nigeria na kundi la wanaigeria mpaka kubaki mtupu ni la kuhuzunisha na kufedhehesha sana.
UN na AU wana kazi ya kufanya hapa kabla mambo hayajawa mabaya zaidi.