JERUSALEMU
JF-Expert Member
- Sep 19, 2012
- 3,112
- 3,536
Amani iwe nanyi wanabodi !
Leo nimeona niwashirikishe jambo la kijamii kwakuwa nimeona kuna mambo hayaendi sawa upande wa wanaume.Jambo lililo nifanya nipendekeze kuundwa umoja wa wanaume Tanzania ni wingi wa wajane sehemu mbalimbali nchini.Kama kuna wajane maana yake ni kwamba wanaume wanakufa kwa wingi katika umri mdogo kuliko wanawake! nini kinatokea wanaume kufa katika umri mdogo?
Umoja wa wanaume utatuwezesha kufanya tafiti za kisayansi kubaini tatizo liko wapi ili young couples waweze kuchukua tahadhari ili wote waishi muda mrefu kama mme na mke ili walee watoto pamoja.
Je, kuna uwezekano kuwa wanaume tunakuwa overused na hivyo kupelekea kufa mapema kuliko wanawake? Au wanaume walio fiwa na wake zao nao ni wengi kama wanawake lakini hawajulikani?