Ni wakati muafaka: Serikali itangaze Kiingereza lugha ya taifa sambamba na Kiswahili

UNDENIABLE

JF-Expert Member
Feb 26, 2013
2,326
1,314
Kitambo sana. Kiingereza kimekuwa kikitumika kwenye masuala nyeti hususan mikataba midogo na mikubwa. Sheria nyingi za nchi yetu zimeandikwa kwa kiingereza.

Teknolojia ambayo kimsingi sasa hv ni backbone ya modern economy nayo inajisadifu kwa kiingereza. Teknolojia kuanzia hardware to software zote ni kiingereza tupu.

Na kadhalika na kadhalika.

Ki ukweli Kiswahili imeshindwa kusimama chenyewe kikijitosheleza. Kina hang hang tu kikiongolewa zaidi ki slang slang. Haipo stable. Maneno kama kamata mkoko. Sukuma ndiga. Biyee. Halichachi. Hatupimi. Mchepuko. Mzuka na kadhalika yanayotumika sana kwenye hii generation yanatoa indication kuwa Kiswahili ni lugha ya kawaida kawaida tu ya kupigia stori hasa umbea na majungu. Sio lugha yenye nguvu kwenye jambo specific.

Kwa mfano English imejipambanua kama lugha ya biashara. Kiswahili kama lugha ya kusutana. Hahahahaha.

Na ndio maana Kiswahili hatutumii kwenyea mambo very sensitive and serious. Hata kama jambo ni sensitive sharti liandikwe/liandaliwe kwanza kwa Kiingereza then litafsiriwe kwa Kiswahili.

Tusione aibu. Kiswahili haina manufaa yoyote kwenye mustakabali mzima qa Dunia ya sasa ya uchumi na teknolojia. Imebaki ni lugha ya kustorika tu. Hata elimu watoto wetu wanapata kwa Kiingereza sio Kiswahili. Na matokeo yake yanafahamika.

Hata kuibuka kwa wimbi la English Medium Schools na kuonekana ni shule bora, ukweli ni kuwa watoto na wazazi wanafuata Kiingereza tu na wala hamna la zaidi.

NB: Kama unajua uwezo wa RAM yako ya kichwa chako ni ile ya mfumo wa Q & A tafadhali huu uzi hautakufaa.

Naomba kuwasilisha.
 
Kama Wee ni mwanaume utakuwa ushaanza kuweka nyusi kama wazungu utakuwa unajichubua wewe, maana hupendi vya kwenu
Hii ndio kazi sawia ya Kiswahili. Kusuta, majungu, fitna na mengine yafananayo na hayo. Cheki ulivyoanza comment zako na jinsi ulivyomalizia. Hahahahaha saaaaafi sana mkuu
 
Kitambo sana. Kiingereza kimekuwa kikitumika kwenye masuala nyeti hususan mikataba midogo na mikubwa. Sheria nyingi za nchi yetu zimeandikwa kwa kiingereza.

Teknolojia ambayo kimsingi sasa hv ni backbone ya modern economy nayo inajisadifu kwa kiingereza. Teknolojia kuanzia hardware to software zote ni kiingereza tupu.

Na kadhalika na kadhalika.

Ki ukweli Kiswahili imeshindwa kusimama chenyewe kikijitosheleza. Kina hang hang tu kikiongolewa zaidi ki slang slang. Haipo stable. Maneno kama kamata mkoko. Sukuma ndiga. Biyee. Halichachi. Hatupimi. Mchepuko. Mzuka na kadhalika yanayotumika sana kwenye hii generation yanatoa indication kuwa Kiswahili ni lugha ya kawaida kawaida tu ya kupigia stori hasa umbea na majungu. Sio lugha yenye nguvu kwenye jambo specific.

Kwa mfano English imejipambanua kama lugha ya biashara. Kiswahili kama lugha ya kusutana. Hahahahaha.

Na ndio maana Kiswahili hatutumii kwenyea mambo very sensitive and serious. Hata kama jambo ni sensitive sharti liandikwe/liandaliwe kwanza kwa Kiingereza then litafsiriwe kwa Kiswahili.

Tusione aibu. Kiswahili haina manufaa yoyote kwenye mustakabali mzima qa Dunia ya sasa ya uchumi na teknolojia. Imebaki ni lugha ya kustorika tu. Hata elimu watoto wetu wanapata kwa Kiingereza sio Kiswahili. Na matokeo yake yanafahamika.

Hata kuibuka kwa wimbi la English Medium Schools na kuonekana ni shule bora, ukweli ni kuwa watoto na wazazi wanafuata Kiingereza tu na wala hamna la zaidi.

NB: Kama unajua uwezo wa RAM yako ya kichwa chako ni ile ya mfumo wa Q & A tafadhali huu uzi hautakufaa.

Naomba kuwasilisha.
huo ni mtazamo wako.....history haiwezi futika hivi hivi tutafika....lugha yetu ni nzuri sana yaan hadi vyuo vya nchi za magharibi wanajifunza .....sasa kiswahili haukielew wew ....maamuzi ya kutumia lugha fasaha ni maamuzi tu na chamtaa ni maamuzi tu ndyo maana anavyoongea kijana na mtu mzima ni tofauti
 
Mleta mada labda niambie Ni kwa kiasi gani lugha ya kiswahili imesababisha umasikini tulionao, na kama watz wangekuwa na kipato kizuri na maendeleo unafikiri suala la lugha linekuwa tatizo?
 
Kama Wee ni mwanaume utakuwa ushaanza kuweka nyusi kama wazungu utakuwa unajichubua wewe, maana hupendi vya kwenu
Sijaona mahala aliposema hakipendi Kiswahili...ila ametoa sababu za kutokujitosheleza kwa lugha ya kiswahili.
 
Watu wengi hudhani kingereza ni ujuzi(skills) acheni hizo ni lugha ya mawasiliano tu. Tunachotaka wananchi wetu wawe na ujuzi na huo ujuzi unapatika kwa kutumia lugha ya kiswahili kwani wanaweza kujitanua katika kuongeza maarifa(knowledge) na kuyatumia maarifa (skills).
 
Kitambo sana. Kiingereza kimekuwa kikitumika kwenye masuala nyeti hususan mikataba midogo na mikubwa. Sheria nyingi za nchi yetu zimeandikwa kwa kiingereza.

Teknolojia ambayo kimsingi sasa hv ni backbone ya modern economy nayo inajisadifu kwa kiingereza. Teknolojia kuanzia hardware to software zote ni kiingereza tupu.

Na kadhalika na kadhalika.

Ki ukweli Kiswahili imeshindwa kusimama chenyewe kikijitosheleza. Kina hang hang tu kikiongolewa zaidi ki slang slang. Haipo stable. Maneno kama kamata mkoko. Sukuma ndiga. Biyee. Halichachi. Hatupimi. Mchepuko. Mzuka na kadhalika yanayotumika sana kwenye hii generation yanatoa indication kuwa Kiswahili ni lugha ya kawaida kawaida tu ya kupigia stori hasa umbea na majungu. Sio lugha yenye nguvu kwenye jambo specific.

Kwa mfano English imejipambanua kama lugha ya biashara. Kiswahili kama lugha ya kusutana. Hahahahaha.

Na ndio maana Kiswahili hatutumii kwenyea mambo very sensitive and serious. Hata kama jambo ni sensitive sharti liandikwe/liandaliwe kwanza kwa Kiingereza then litafsiriwe kwa Kiswahili.

Tusione aibu. Kiswahili haina manufaa yoyote kwenye mustakabali mzima qa Dunia ya sasa ya uchumi na teknolojia. Imebaki ni lugha ya kustorika tu. Hata elimu watoto wetu wanapata kwa Kiingereza sio Kiswahili. Na matokeo yake yanafahamika.

Hata kuibuka kwa wimbi la English Medium Schools na kuonekana ni shule bora, ukweli ni kuwa watoto na wazazi wanafuata Kiingereza tu na wala hamna la zaidi.

NB: Kama unajua uwezo wa RAM yako ya kichwa chako ni ile ya mfumo wa Q & A tafadhali huu uzi hautakufaa.

Naomba kuwasilisha.
Kiswahili ni Lugha ambayo tunapaswa kujivunia, kwa sasa Kiswahili angalau kina misamiati mingi katika nyanja za kisayansi, hivyo hakuna sababu ya kutumia Kiingereza tena. Tatizo kubwa la watania ni kukosa uzalendo ndiyo maana kiingereza kinachukua nafasi sana, hoja nyingine zote mimi kwangu hazina maana yoyote,eti sijui kiingereza ni Lugha ya kibiashara. Tupende kilicho chetu, Mwalimu Nyerere alisema kiingereza kiendelee kutumika wakati hule kwa kuwa hali ilikuwa tofauti sana na sasa, Lugha yetu sasa hivi imeendelea kimisamiati hivyo ni wakati muhafaka kwa wasomi wa Lugha kuanza kukipigia chapuo kiswahili ili kiweze kutumika katika maeneo mbalimbali.
 
Kiswahili ni kiarabu Na kihindi eg mubashara, chapati, chai, baraza, baba. Ni lugha mahsusi ya kutoa mipasho, kuchambana. English ni lugha iliyosheheni Science and Technology. Muhimu zama hii
 
Kama Wee ni mwanaume utakuwa ushaanza kuweka nyusi kama wazungu utakuwa unajichubua wewe, maana hupendi vya kwenu
Wewe kalia hoja za mipasho, lakini kiingereza hakikwepeki. Wewe waweza kuwa mojawapo wa wanaodanganya watoto wa maskini waenzi kiswahili huku ukipeleka wanao English medium.
 
Kama Wee ni mwanaume utakuwa ushaanza kuweka nyusi kama wazungu utakuwa unajichubua wewe, maana hupendi vya kwenu
Watu kama nyie hovyo kabisa. Badala ya kuleta hoja unaleta mipasho. Nenda kafanye interview na kiswahili chako uone kama utapata kazi.
 
Kitambo sana. Kiingereza kimekuwa kikitumika kwenye masuala nyeti hususan mikataba midogo na mikubwa. Sheria nyingi za nchi yetu zimeandikwa kwa kiingereza.

Teknolojia ambayo kimsingi sasa hv ni backbone ya modern economy nayo inajisadifu kwa kiingereza. Teknolojia kuanzia hardware to software zote ni kiingereza tupu.

Na kadhalika na kadhalika.

Ki ukweli Kiswahili imeshindwa kusimama chenyewe kikijitosheleza. Kina hang hang tu kikiongolewa zaidi ki slang slang. Haipo stable. Maneno kama kamata mkoko. Sukuma ndiga. Biyee. Halichachi. Hatupimi. Mchepuko. Mzuka na kadhalika yanayotumika sana kwenye hii generation yanatoa indication kuwa Kiswahili ni lugha ya kawaida kawaida tu ya kupigia stori hasa umbea na majungu. Sio lugha yenye nguvu kwenye jambo specific.

Kwa mfano English imejipambanua kama lugha ya biashara. Kiswahili kama lugha ya kusutana. Hahahahaha.

Na ndio maana Kiswahili hatutumii kwenyea mambo very sensitive and serious. Hata kama jambo ni sensitive sharti liandikwe/liandaliwe kwanza kwa Kiingereza then litafsiriwe kwa Kiswahili.

Tusione aibu. Kiswahili haina manufaa yoyote kwenye mustakabali mzima qa Dunia ya sasa ya uchumi na teknolojia. Imebaki ni lugha ya kustorika tu. Hata elimu watoto wetu wanapata kwa Kiingereza sio Kiswahili. Na matokeo yake yanafahamika.

Hata kuibuka kwa wimbi la English Medium Schools na kuonekana ni shule bora, ukweli ni kuwa watoto na wazazi wanafuata Kiingereza tu na wala hamna la zaidi.

NB: Kama unajua uwezo wa RAM yako ya kichwa chako ni ile ya mfumo wa Q & A tafadhali huu uzi hautakufaa.

Naomba kuwasilisha.
Lengo la kutumia kiswahili katika hii mada yako ni nini? kipi ulifikiri hadi ukaamua kuandika kwa kiswahili na si kiingereza?
 
Natamani sana Profesa Sengo angepita hapa auone uzi wako,angekupatia jibu mbashara!
 
Tanzania tuna lugha mbili za Taifa.
1. Kiswahili.
2. Kiingereza.
Mleta mada unataka lugha gani nyingine iongezwe?
 
Kiswahili ni Lugha ambayo tunapaswa kujivunia, kwa sasa Kiswahili angalau kina misamiati mingi katika nyanja za kisayansi, hivyo hakuna sababu ya kutumia Kiingereza tena. Tatizo kubwa la watania ni kukosa uzalendo ndiyo maana kiingereza kinachukua nafasi sana, hoja nyingine zote mimi kwangu hazina maana yoyote,eti sijui kiingereza ni Lugha ya kibiashara. Tupende kilicho chetu, Mwalimu Nyerere alisema kiingereza kiendelee kutumika wakati hule kwa kuwa hali ilikuwa tofauti sana na sasa, Lugha yetu sasa hivi imeendelea kimisamiati hivyo ni wakati muhafaka kwa wasomi wa Lugha kuanza kukipigia chapuo kiswahili ili kiweze kutumika katika maeneo mbalimbali.
mikataba ya kimataifa ikienda China inaandikwa kichina

ikija TZ unajua mwenyewe kinachotokeaga
 
Back
Top Bottom