Ni wakati muafaka sasa Rais Magufuli atoe sarafu ya elfu moja yenye picha yake

Acha huo ujinga wako haraka mkuu
Huna tofauti na wazaire walioaminishwa mobutu ndio Kila kitu,kaletwa na mungu ili kuwakomboa
Walioaminishwa mobutu ni yesu wao,walisema hawafati mawazo yoyote ya Mtu yeyote ila yeye tu,mwisho wa siku nchi nzima ikawa na wajinga Kama wewe
Naye mobutu kwa kuwa ni binadamu akajokuta zile sifa alizomwagiwa kwa wingi zinamuelemea
Akaanza kufanya maamuzi yaliyoathiri nchi yake, acheni kumpa sifa kubwa binadamu mwenzenu mtafanya aanze kuaribu.

MOBUTU MPAKA ANAKUFA ALIAMINI HAJAZALIWA MTU WA KUIONGOZA ZAIRE VIZURI KAMA YEYE
 
Huu ndio muda muafaka Rais kipenzi cha watanzania umshauri Gavana atoe sarafu ya elfu moja yenye picha yako.

Hii itaipa nguvu buku watu wanaiheshimu sasa

Pia itaacha kumbukumbu kwa vizazi vijavyo

Nawasilisha

Hapana, muda bado atakapoondoka madarakani na kuiweka Tanzania kwenye uchumi wa kati kama alivyoahidi na kuiweka nchi kwenye maziwa na asali zitatengenezwa gold coins za (Values) shillingi laki moja, laki tano na millioni moja. Yes Gold coins of values of 100,000 Tshs, 500 000 Tshs and 1,000 000 Tshs kumuenzi vizuri. Hapa Kazi tu.

1573162476945.png
1573162549990.png
1573162584783.png
 

Attachments

  • 1573162550215.png
    1573162550215.png
    27.8 KB · Views: 1
Back
Top Bottom