Ni wakati Muafaka sasa kwa waziri wa Nishati na Madini Kujiudhuru ...

FirstLady1

JF-Expert Member
Jul 29, 2009
16,792
5,374
Ngeleja Sekta ya Madini Imekushinda
Ngeleja Sekta ya Nishati nayo ndio iko Hoi kabisa..sijui sasa utakuja na jipya gani?
Nikisema hivi na imani Raia wote wa Tanzania mnaelewa ni ugumu gani tunaopitia sasa..
Mgao gani huu wa umeme usioeleweka......
 
yule msukuma hamna kitu kabisa.....yeye anasma sio dhambi kuwa na umeme utokanano na maji...na ndani ya miaka 5 itakuwa ni historia.........

leo nimeona j.makamba amemtetea kuwa asilaumiwe.......
 
huyo hawezi kujiuzuru hata iweje, watasema sio tatizo lake nae kalikuta..
 
Jamani Waziri William Ngeleja ni symptom tu ya tatizo na tatizo lenyewe ni Rais Jakaya Mrisho Kikwete. Cha msingi ni kushughulikia tatizo na sio symptoms. Hivi JK hakumuona Ngeleja ni bomu wakati akimchagua? Kama hakulitambua hilo basi naye si bomu kweli?
 
Hivi jaman kama kila kiongozi akikosea hata kidogo tu mkataka ajiuzuru,kazi zitafanywa mda gani?,maana mda wote nahisi kazi itakuwa ni kubadirisha viongozi na sio utendaji!
 
Back
Top Bottom