Ni wakati muafaka sasa Jeshi la Polisi kuanza uchunguzi wa Lissu

BALAGASHIA

JF-Expert Member
Jan 21, 2017
392
383
Awali ilishindika kwa kuwa muhusika na dereva hawakuwepo. Naomba Jeshi letu sasa liutoe ukweli wote. Tena mkiona inafaa mshirikishe wada mbalimbali.

Huu wakati wa kututoa mashaka Watanzania.
 
Lissu yupo.
Dereva yupo.

Polisi wetu wako vizuri na wana weledi mkubwa sana kwenye medani za kiuchunguzi na kiintelejensia, soon watatupa majibu yasiyo na shaka juu ya sintofahamu ya zile njugu pale dom.
 
Muathirika mwenyewe ndo alimficha witness ambae angesaidia mapema kama ramli inaruhusiwa bas ingetumika maana waliohitajika kusaidia upelelez walikingiwa kifua
Ni maoni yangu tu sina chuki wala Sina chama ninacho kihusudu
 
Turishachana hiro fairi ra uchunguzi.
tapatalk_1583005154747.jpeg
 
Mlalamikaji mwenyewe ndo alimficha witness ambae angesaidia mapema kama ramli inaruhusiwa bas ingetumika maana waliohitajika kusaidia upelelez walikingiwa kifua
Ni maoni yangu tu sina chuki wala Sina chama ninacho kihusudu
Kwenye kesi za jinai mlalamikaji ni Jamhuri muathirika ni shahidi
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom