Ni wakati muafaka kuwa na rais asiye mtendaj

Ngomo

JF-Expert Member
Oct 15, 2009
200
95
Tanzania ni chi ambayo inaongozwa na rais mtendaji yaani mkuu wa nchi na mkuu wa serikali. katika kipindi hiki cha uchaguzi rais wetu ambaye ni mkuu wa nchi antumia rasilimali za serikali katika shughuli za kampeni. kama angekuwa ni mkuu wa serikali tu asingeweza kutumia rasilimali za serikali kwenye kampeni, mfano uingereza mkuu wa nchi ni malikia na mkuu wa serikali ni waziri mkuu, katika muda huu mkuu wa nchi angeweza kuwa na maamuzi ya mwisho ya mwisho ya serikali. hivyo tufanye kubalisha katiba ya nchi yetu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom