Ni wakati gani wafu hufika kuzimu?

kifo ni usingizi mzito ambao wafu hulala wataamka kristo atakapokuja.
mizimu au roho muwaonao au kusikia habari zao ni wale theluthi ya malaika ambao shetani alitupwa nao(ufunuo 12:4 &9), na hufanya hayo ili kupotosha ulimwengu
 
Hivi Mkuu hizi tamaduni mila na desturi zikichanganya na Imani kuna ubaya wowote au kuna makosa maana kuna mambo bado inanipa shida sana kuelewa
Ni vema kila kitu kisimame chenyewe na ukitaka kuvichanganya inataji werevu mwingi tafakari na uchaguzi sahihi

Jr
 
Asante Mkuu, naomba kujua kuna darasa maalumu la kujifunza haya mambo ili kuwa mwerevu, na je unaweza kunisaidia kupata darasa hilo? natanguliza shukurani.
 
Ni elimu za filosophia na dini za dunia

Jr
 
MAUTI INAFANANISHWA NA USINGIZI. TUJIFUNZE HAPA CHINI

Zaburi 13:3 ''Ee Bwana, Mungu wangu, uangalie, uniitikie; Uyatie nuru macho yangu, Nisije nikalala usingizi wa mauti''
Hapao unaona kuwa kifo ni kama usingizi

Mhubiri 9:4-6''Kuna tumaini kwa yeyote aliye miongoni mwa walio hai, kwa sababu mbwa aliye hai ni afadhali kuliko simba aliyekufa.+ 5 Kwa maana walio hai wanajua* kwamba watakufa,+ lakini waliokufa hawajui jambo lolote kamwe,+ wala hawana thawabu* tena, kwa sababu kumbukumbu lote kuwahusu limesahauliwa.+ 6 Pia, upendo wao na chuki yao na wivu wao tayari umetoweka, na hawana tena fungu lolote katika mambo yanayofanywa chini ya jua.''

Mhubiri 9:10
Kila unachotaka kufanya kifanye kwa nguvu zako zote, maana, hakuna kazi, wala wazo, wala maarifa, wala hekima huko kuzimu unakokwenda

Angalia pia Kisa cha Lazaro kufa kunafananishwa na usingizi

“…rafiki yetu lazaro amelala, lakini ninakwenda nipate kumwamsha.” yohana 11:11

wanafunzi walishangaa kuambiwa mtu waliyemzika kaburini kuwa amelala wakauliza“…bwana ikiwa amelala, atapona. lakini yesu alikuwa amenena habari ya mauti yake; nao walidhania ya kuwa ananena habari ya kulala usingizi.”“basi hapo yesu akawaambia waziwazi, lazaro amekufa.” yohana 11:12-14

“…bwana, kama ungalikuwapo hapa, ndugu yangu hangalikufa.” yohana 11:21

“..ndugu yako atafufuka.” yohana 11:23

wafuasi wa yesu pia waliamini mtu hufufuka siku ya mwisho si kama wakristo wanaoamini umizimu siku hizi anasema;“najua ya kuwa atafufuka katika ufufuo siku ya mwisho.” yohana 11:24

-yesu alipomwita lazaro alitokea kaburini, pale alipolazwa si mahali pengi na alikuwa ameanza kuoza.

“bwana, ananuka sasa; maana amekwisha kuwa maiti siku nne.” yohana 11:39

1 KOR. 15:51-52
Angalieni, nawaambia ninyi siri; hatutalala sote, lakini sote tutabadilika, kwa dakika moja, kufumba na kufumbua, wakati wa parapanda ya mwisho; maana parapanda italia, na wafu watafufuliwa, wasiwe na uharibifu, nasi tutabadilika
 
Binadamu tuna tatizo la kujitambua. Tunadhani sisi ni mwili na akili then tuna uhai na hatu Binadamu akifa basi tunadhani maiti ndio thamani yote ya mwanadamu. Embu tugeuze mtazamo wetu, tuseme hivi, Binadamu ni Roho yenye Mwili na Akili. Ukigeuza hivi unapata picha sahihi ya alichokieleza mtoa maada.

Roho haifi bali inatoka kwenye mwili iliyokuwa inau maintain (kuumba) kwa kuupa misosi, Maji na Pumzi, ambavyo vya dunia hii, Lakini pia kuna sababu maalumu ya kuwa kwenye huu mwili, sasa saa ya kufa imeshwadia katika hali ile unarudi kenye moment ya siku ulikuwa unaingia kwenye mimba iliyotungwa na kwa yai na mbegu za wazazi unajua kwanini ulipaswa kuzaliwa yaani what was the mission in life na you did not fulfill your mission, you how it is difficult to find another body kwani kusiwe na kujuta, mataabiko, maumivu wakati wa kukata Roho?.

Kuna wale waliofanya Astral body projection (mbinu ya kutoka kama uhai kenye mwili na kurudia mwili) wanaweza elewa Roho inajielewa hata ikiwa nje mwili kwani inabakia kuwa na impression hii geuka geuka ya Maiti au kucheka bado kunabakia trace ya Roho kwenye mwili, na kwasabu wakati huo Roho inajua hasa ilipaswa kufanya nini maisha yake inapigana kurudia mwili japo kwa muda ili ikamilishe mission yake. Lakini kwa mujibu wa law of nature inashindikana kwa sababu kama ndio mtihani jamaa anamajibu yaani Anadesa. Baada ya kuucha mwili kwa muda bado kuna impression za ubinafsi yaani Ego, Lust, Attachment inakuwa naxo, Roho itabaki kurandaranda na kujaribu kuwa na awapendao mpaka impression zinapo ware out ndio mission ya kutafuta another body inaanza.

Vitabu vya dini vinaposema tumeumbwa mfano wa mungu ndio maana yake, sisi Roho hatuonekani kwa macho ya kawaida kama vile hatuwezi muona Mungu kwa macho yetu.
 
Sisi huomboleza wapendwa wetu wanapokufa. Huenda tukauliza: ‘Wameenda wapi? Je, wanateseka? Je, wanaweza kutusaidia? Je, tunaweza kuwasaidia? Je, tutawaona tena?’ Dini za ulimwengu hujibu maswali haya kwa njia tofauti-tofauti. Baadhi ya dini hizo hufundisha kwamba ukiishi maisha ya uadilifu, utaenda mbinguni lakini ikiwa unaishi maisha mabaya, utateketezwa motoni. Dini nyingine hufundisha kwamba watu wanapokufa huenda kuishi katika makao ya roho pamoja na mababu zao. Na nyingine hufundisha kwamba wafu huenda ahera wakahukumiwe kisha huzaliwa upya katika mwili mwingine.

Dini zote hizo zinafundisha jambo moja la msingi, kwamba sehemu fulani ya mwanadamu huendelea kuishi baada ya mwili kufa. Karibu kila dini, za zamani na za sasa, husema kwamba sisi huendelea kuishi milele tukiwa na uwezo wa kuona, kusikia, na kufikiri. Hata hivyo, hilo linawezekanaje? Hisia zetu, pamoja na mawazo yetu, zinahusiana na jinsi ubongo wetu unavyofanya kazi. Ubongo huacha kufanya kazi mtu anapokufa. Kumbukumbu letu na hisia zetu haziendelei kufanya kazi baada ya ubongo kufa.

Mfano, katika Biblia
Mungu , Muumba wa ubongo anajua kinachotukia tunapokufa. Anajua ukweli na katika Neno lake, Biblia, anaeleza hali ya wafu. Biblia inafundisha hivi waziwazi: Mtu anapokufa, hayupo tena. Kifo ni kinyume cha uhai. Wafu hawaoni, hawasikii wala kufikiri. Hakuna sehemu yoyote ya mwili wetu inayoendelea kuishi baada ya mwili kufa. Hatuna nafsi au roho isiyoweza kufa. *

Jiulize swali; Moto huenda wapi unapozimika?

Baada ya Sulemani kutaja kwamba walio hai wanajua kwamba watakufa, aliandika hivi: “Lakini wafu, hawajui lolote kamwe.” Kisha akafafanua kweli hiyo ya msingi kwa kusema kwamba wafu hawawezi kupenda wala kuchukia na kwamba “hakuna kazi, wala utungaji wala ujuzi wala hekima katika Kaburi.” (Mhubiri 9:5, 6, 10)
 
Nibishie... jifanye kama unajikuna

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu bila shaka wewe ni shahidi wa Jehova
Uchambuzi wa namna hii nimezoea kuuona kwa mashahidi wa Yehova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mshana Jr nami niweke mkono wangu hapa,katika mwili kilicho muhimu sana ni roho,maana mwili pasipo roho si kitu ndo tunapata jina la kitu ufu/ mfu
Nafsi ni muunganiko wa mwili na roho ndo tunapata nafsi hai yaani binadamu mwenyewe.Roho inapoachana na mwili nafsi hutoweka,maana nafsi nikiwakilishi cha uzima tuu maana nafsi haishikiki wala kuonekana bali nikiwakilishi cha uwepo wa uhai katika mwili wa binadamu.
Pindi mwanadamu anapoaga dunia/kupatwa na umauti, roho humurudia yeye aliyeiumba ambaye kiimani ni Mungu naye anajua pale inapositahili kwenda kwa wakati huo,kuna sehemu zinazostahili kwa kila roho kuchukua welekeo wake kulingana na jinsi ilivyoutumia mda wake hapa duniani. Pia ifahamike kuwa mwenye dhamana ya kila jambo tukiwa angari hapa duniani ni roho na wala si mwili,mwili ni nyumba ya roho,ni sawa na wewe umekaa ndani ya nyumba yako inanyesha mvua mara upepo mkali ukaja na kuezua paa la nyumba yako lazima utoke ndani ya nyumba na ukimbilie kwingine ,ndicho kinachotokea pale mwili ukipatwa maswahibu ya kutosho na roho ikaona haiwezi kukaa katika mwili huo na ndipo hutoka.

Kamwe roho haifi na wala hakuna mwenye uwezo wa kuiua roho isipokuwa MUNGU pekee.roho pia yaweza kutumika hata zaidi ya mara moja hapa duniani,yaani ikawepo ikaondoka na kurudi tena isipokuwa hurudi kwa umbo tofauti ndo maana Yesu alipofufuka alikuwa akiwatokea watu katika hali tofauti na wasimtambue.Sura au mwili si kitambulisho cho roho ndo maana hata Eliya alirudi duniani hawakumtambua.

Kingine ,si kila kifo hutoka kwa Mungu ,kuna vifo hutokana na wanadamu,na kila mwanadamu ana mda wake hapa duniani na mda ukifika huondoka,ila sasa kuna vifo ambavyo hutokea kwa wanadamu pasipo kusudio la Mungu,yaani mda wake ulikuwa bado ila mauti inamkuta na anaondoka.inakuwaje hii, nitaelezea,Mauti haya husababishwa na wanadamu wenyewe ,kwa makusudi au bahati mbaya.mfano mtu ajinyonge,auliwe na mwanadamu mwenzie,ajari mbali mbali magonjwa ya kujitakia kutokana na kukosa maarifa yakutosha na kikubwa zaidi ni pale mtu anapokosa ulinzi wa Mungu yaani yeye anakuwa hatambui uwepo wa Mungu hivyo anakuwa free kwa lolote kumkuta na anajikuta anaondoka duniani.

Katika hayo sasa roho hizi zinazotelewa kwa kulazimishwa,yaani mtu kauawa,kajinyonga,kapata ajali nk.ndizo zinzazoweza kutanga tanga na kugeuka mzimu.Roho hizi zinauwezo wa kuambaa ambaa hapa duniani kwa mda.Sasa hapa kuna mambo mawili katika hizi roho,swali linakuja,je ziliishije hapa duniani zikiwa katika nafsi hai?.
Kuna roho ambazo siku zote huwa zipo kalibu na Mungu na roho hizi zikiachana na mwili hubaki duniani kwa mda mfupi tu kisha huondoka na kurudi zilipotoka,ila kuna hizi ambazo wakati mwingine hazikuwa kalibu sana na Mungu huwa na uwezo wa kubaki hapa duniani kwa mda hadi pale wakati wake wa kuitwa ,nazo huondoka, kwa mfano bwana X alitakiwa aishi miaka 72 duniani ila akafa akiwa na miaka 40 tu, sasa roho ya X inaweza ikabaki hapa duniani kwa kipindi cha miaka 32 yote ndipo iondoke.Roho hizi huwa si nzuri kwani zinajirudi katika hali yake ,hivyo zinauwezo wa kudhuru au kuleta tafrani ama amani pia.

Roho hizi zilizoishi vibaya hapa duniani zianauwezo wa kumuingia mtu ,na pale roho hii imuingiapo, mtu hupotea gafla na asionekane kabsa ila sasa mara nyingi hukimbilia katika misiti mikubwa na zimvaapo mtu madhara yake ndo hayo unaweza kupotea ama ukapatwa na wenda wazimu .
ILA KATIKA YOTE,mwanadamu kaumbwa ili kuishi hapa Duniani kwa mda tu na mda ukifika ataondoka.haijalishi umeishije ni lazima uondoke tu ,siri ya mengine ni wewe na Mungu wako ndo mtayamaliza ila thamani ya uhai huishia hapa.Yanayofuata ni siri ya mungu pekee dhidi ya hatima ya roho zetu zitakazo pimwa kulingana na jinsi zilivyo ishi katika ulimwengu wa nyama.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati wa mafunzo yangu huko mbali na baadae kazini nilipata mara si haba wasaa wa kukaa na wagonjwa waliokuwa katika dakika zao za mwisho za kufariki... Wachache nilikuwa nao mpaka roho inaachana na mwili.... Maisha yana vitu vinauma na kuumiza sana... Lakini hakuna maumivu makali kama pale roho inapotaka kujitenga na mwili... Ni tendo moja gumu sana.. Na unayaona wazi mahangaiko ya mfu mtarajiwa....
Nimeshiriki pia mara si haba kuwapokea wafu kwenye chumba cha kuhifadhia maiti(mortuary) na kuwahifadhi wengine hadi wiki na ushee...Nimeshiriki kuwaandaa marehemu kwa ajili ya kuagwa mara ya mwisho na wapendwa wao... Nimeshiriki kuzika kwa udongo.. Na nimeshiriki si mara haba kuwachoma moto marehemu kama utamaduni wao unavyotaka
Kote huko niligundua kitu kimoja kikubwa sana... Kifo sio jambo la maramoja linaloishia hapo hapo... Kifo ni mchakato unaoanzia tangu kutungwa kwa mimba, kuzaliwa, kufa na mwendelezo baada ya kufa..
Mfu anakuwa mfu kwasababu tu roho imetengana na mwili.. Lakini kuna uhai usioonekana unabaki mpaka pale makaburini! Na ndio maana kuna simulizi nyingi za marehemu kabla hawajazikwa na hata baada ya kuzikwa...
Baadhi ya vituko hivyo ni
. maiti kununa ama kutabasamu
. maiti kukunja uso
.maiti kugeuka kidogo
. maiti kukataa kusafirishwa
. maiti kukataa kuvalishwa nguo
. maiti kushindikana kabisa kubebwa nknk

Kuna mkanganyiko mkubwa kwenye imani zetu kuhusiana na swala zima la pepo na kuzimu(akhera) na uhalisia wa mfu kufika kuzimu ama peponi muda gani...
Mchakato wa mtiririko wa kikristo uko hivi
Mateso
Kifo
Kuzikwa
Kushuka kuzimu (kwa tafsiri ya hapa kuzimu kuko chini ya kaburi)
Baada ya hayo yote ndio kupaishwa JUU mbinguni(rejea imani ya kikristo)
Hapa ndio inakuja ile tafsiri ya maneno KILA NAFSI ITAONJA MAUTI.....

Kwahiyo wafu huwa around mpaka wanapozikwa ndio huenda kuzimu... Wale tunaowaona wakirejea duniani kwa vague images, ndoto hisia nk sio wafu tena bali ni mizimu.... Na kwa taarifa yako ni kwamba wafu wote wako kaburini /kuzimu wakisubiri ufufuo siku ya kiama... Hakuna mfu aliye peponi na hakuna mfu anayekwenda kuzimu direct bila kupitia mchakato husika... Hata kama alipotelea baharini, hata kama alioza porini ama aliungua mpaka kubakia jivu... Roho ndio hubeba mchakato wote na kamwe roho haifi...
Big up mkuu

Sent using Infinix hot 4
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom