Ni wakati gani wafu hufika kuzimu?

Sasa braza Mshana Jr naona unataka kunchanganya au mimi najichanganya...maana uliwahi kusema kuna maisha baada ya kifo katika ulimwengu wa kiroho... Je ndo hayo ya kuzimu?

Pia kuna Muvi niliwahi kuiangalia ila siikumbuki jina, yenyewe ni ya kichawi chawi hivi kuna jamaa demu wake atakufa kisha yeye atasaidiwa na mwanamke atapewa kitu gani sijui kisha atamfuata mpenzi wake kuzimu ambako ni chini ya ardhi huko atamkuta yupo kwenye taratibu za mwisho endapo angepitishwa kwenye hilo eneo asingeweza kurudi tena duniani, wanamuonyesha mkuu wa huko ni jitu moja hivi lina mapembe sijui ndo shetani lile... Naomba niishie hapa
 
Mkuu muulize wachaga wanapoenda kutambika mwisho wa mwaka huwa wanaenda kutambika kwa ajili ya nani na kwa sababu gani ? na bado wanaenda kanisani kumwabudu mungu .
Tamaduni (mila na desturi) vinapokutana pamoja na imani
 
Mkuu Mshana Jr,
Mtu ni NAFSI yenye ROHO inayokaa ndani ya MWILI.
Kwa msingi huo mtu HAFI kabisa isipokuwa kinachofanyika ni kutengana tu kwa sehemu hizo tatu kila kimoja kwenda mahali pake.

Ni hivi, wewe Mshana unaishi ndani ya UMBO lako hilo ukiunganishwa vyema na kitu kinachoitwa KAMBA YA FEDHA (silver cord) au roho kama tulivyozoea kusema kiimani.

Sasa hiyo KAMBA (roho) ikikatika, tunasema umekata roho (au umekufa) lakini ukweli wa mambo ni kwamba HUJAFA bali umeama makazi; yaani umeenda kuishi sehemu nyingine tofauti na humu duniani wakati ndugu, jamaa na marafiki zako wanauchukua mwili wako na kuurudisha mavumbini ulikotoka!

Sasa wewe Mshana OG ambaye kimsingi unaitwa NAFSI, unaenda mahali panaitwa KUZIMU ikiwa ulikufa bila kufanya mapatano na Mungu, yaani pasipo kutubu na kama ulipata nafasi ya toba kabla, unaenda moja kwa moja mpaka peponi au paradiso na huko maisha yanaendelea na watu (nafsi) utakaokutana nao huko - paradiso au kuzimu.

Wapo wale wanaouwa kimazingara au kichawi, hawa hawaendi kuzimu wala peponi/ paradise, bali hufugwa mahali kama misukule tu na wakati wao ukiisha waliopangiwa waishi duniani, 'ufa' na kwenda kuzimu direct!
 
japo kwenye ishu ya paradiso naona bado watu hawafiki huko kwa sasa mpaka siku ya kiama(kama kipo)
 
@Mshana Jr
Hebu cheki hii verse ihusuyo Paradiso na hapo utaweza ku-cinclude whether or not kuna watu huko.

LUKA 23:

42 Kisha akasema, Ee Yesu, nikumbuke utakapoingia katika ufalme wako.

43 Yesu akamwambia, Amin, nakuambia, leo hivi utakuwa pamoja nami peponi.

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
 
Yeah ni sahihi but I think that one was a special case.., sina hakika sana
 
Hapa unanifanya niangalie hili swala biologically. Unapoattempt kuyachukua maisha yako maana ake unaforce kitu ambacho system nzima ya mwili iko active alafu wewe unailazimisha kuizima hapa lazima utakutana na maumivu. Kwa mfano anayejinyonga, kamba imebana mfumo mzima wa upumuaji na viungo vya mwili vinahitaji oxygen. Pi kwa alijipiga risasi au kujichoma kisu, viungo vinaitaji usambazaji wa damu ya kutosha alafu kuna loophole imetengenezwa ya kutoruhusu huyo usanbazaji wa kutosha eventually kifo cha maumuvu lazima kitokee.
Kuna watu wanakufa usingizini yaani all over the suddenly wanajikuta wapo kwenye mazingira tofauti ya duniani/ physical world.
Labda uniambie kabla ya kukata roho kuna spiritual beings zinakufuata kukuchukua kwa nguvu/lazima
I stand to be corrected
Me nadhan kuna spiritual beings wawili wanakufuata kukuchukua kwa lazima
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom