Ni wakati gani uliwahi kuwa na furaha zaidi na hutoisahau?

First time nashika million 7 kwa mkupuo na yote yangu ilikuwa 2013 hivi nilipiga mishe na madeal nikastuka nina mzigo huo hapo halafu Sina jukumu hata moja na umri wangu na hiyo pesa vilikuwa haviendani kabisa.Kuna kitu nilijifunza kuhusu pesa,Kuna namna ukiwa na hela kwa sisi wanaume ka confidence flan hivi nilikuwa nako.Narudi job naenda mtaani na kaa kijiweni na watu ambao najua hata laki tano hawana Basi najiona kidumeeee.

MDA wote nilikuwa naenda kuicheki bank kuna kipindi nilihisi hata bank ni wezi tu na ipo siku wataniibia.
 
Vip uliipiga yote nini???
 
Vip uliipiga yote nini???
Nilinunuaga shamba kibamba million 5 40M*50M tena baada ya kumwambia mama nina hela nyingi bank.

Million 2 nilikula kula tu kipindi kile nilikuwa na sifa za kuwa na mademu wengi enzi hizo tunashindana Nani Ana mwanamke mzuri kupita mwenzake,mi nilikuwa nawaumiza mashikaji sababu nilikuwa na uwezo wa kupeleka mwanamke lodge wkt wenzangu wanategemea kuazima geto la mshikaji.
 
Aisee bhasi ulichezaa hiyo ya shamba leo unaweza uza Mamilion..
 
Siku niliposimama kwenye stage juu na mbele ya umat wa watu wengi nikiwa kama mpigaji wa guitar ya Bass na kushughukika barabar.ilikua concert ya uimbaji Praise&worship kwenye wilaya moja wapo mkoa wa pwani, my first concert ever to engage.
Seeing hw people were being blessed by the music we played the whole night.Their joy, happy noises and cry !!dooh!! Made me feel so special...
Ikinifanya nifurahi sanaaaaaaaaaaaaaa
 
First time nashika million 7 kwa mkupuo na yote yangu ilikuwa 2013 hivi nilipiga mishe na madeal nikastuka nina mzigo huo hapo halafu Sina jukumu hata moja na umri wangu na hiyo pesa vilikuwa haviendani kabisa.Kuna kitu nilijifunza kuhusu pesa,Kuna namna ukiwa na hela kwa sisi wanaume ka confidence flan hivi nilikuwa nako.Narudi job naenda mtaani na kaa kijiweni na watu ambao najua hata laki tano hawana Basi najiona kidumeeee.

MDA wote nilikuwa naenda kuicheki bank kuna kipindi nilihisi hata bank ni wezi tu na ipo siku wataniibia.
Ahahahahahahahaha...Kwel maana hata ww hawakuamin ndio maana ile peni yao ya kujazia slip wameifunga na kamba
 
Kipindi niko O-Level nimehama kutoka Gov't school kwenda Private school form three siku nimeripot shule kesho yake kulikuwa na mechi dhidi ya shule nyingine nakubuka shule yetu ilikuwa nyuma kwa magoli mawili nilipewa nafasi ya kucheza dakika kumi za mwisho na nikagonga hatrick siku hiyo nilijulikana shule nzima.... Hadi namaliza pale O-Level ada nilikuwa nalipa nusu... Niliheshimiwa kama Messi pale katalunya
 
First time nashika million 7 kwa mkupuo na yote yangu ilikuwa 2013 hivi nilipiga mishe na madeal nikastuka nina mzigo huo hapo halafu Sina jukumu hata moja na umri wangu na hiyo pesa vilikuwa haviendani kabisa.Kuna kitu nilijifunza kuhusu pesa,Kuna namna ukiwa na hela kwa sisi wanaume ka confidence flan hivi nilikuwa nako.Narudi job naenda mtaani na kaa kijiweni na watu ambao najua hata laki tano hawana Basi najiona kidumeeee.

MDA wote nilikuwa naenda kuicheki bank kuna kipindi nilihisi hata bank ni wezi tu na ipo siku wataniibia.
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom