ni ngumu
JF-Expert Member
- Sep 25, 2016
- 4,292
- 7,158
First time nashika million 7 kwa mkupuo na yote yangu ilikuwa 2013 hivi nilipiga mishe na madeal nikastuka nina mzigo huo hapo halafu Sina jukumu hata moja na umri wangu na hiyo pesa vilikuwa haviendani kabisa.Kuna kitu nilijifunza kuhusu pesa,Kuna namna ukiwa na hela kwa sisi wanaume ka confidence flan hivi nilikuwa nako.Narudi job naenda mtaani na kaa kijiweni na watu ambao najua hata laki tano hawana Basi najiona kidumeeee.
MDA wote nilikuwa naenda kuicheki bank kuna kipindi nilihisi hata bank ni wezi tu na ipo siku wataniibia.
MDA wote nilikuwa naenda kuicheki bank kuna kipindi nilihisi hata bank ni wezi tu na ipo siku wataniibia.