Aisee binafsi kwangu ilikuwa kipindi ambacho i was in love na msichana ambaye tulipendana saana yan i was sooo happy saut yake tu hata kama nilikuwa nimekasirika vp ntafurah tu daah sitosahau actualy it was a gud love,peace and full of happyness!!View attachment 1125108
Mimi sitasahau siku ambayo matokeo ya form 4 yametoka na kuona nimefaulu kwa ile division kubwa,nikawa nikipita mtaani namsalimia kila mtu.
Karibuni
bado mko wote mkuu?Aisee binafsi kwangu ilikuwa kipindi ambacho i was in love na msichana ambaye tulipendana saana yan i was sooo happy saut yake tu hata kama nilikuwa nimekasirika vp ntafurah tu daah sitosahau actualy it was a gud love,peace and full of happyness!!
wameachana haobado mko wote mkuu?
Smartphone ya kijanja ikawa kipaombele.Message ya kwanza ya kuwa "imethibitishwa heslab wamekuwekea laki 7" kwe acc no 15.........
tuliachana mkuubado mko wote mkuu?
Kwanini hauna furaha mkuu?Mpaka saivi sijawa na furaha kama ulivyoelezea.. Hata kidato cha nne alama nzuri sikupata.... Nahisi nitakuwa na furaha kaburini