Ni wakati gani katika kesi nafasi ya mdhamini huisha?

MWINUKAOSCAR

Member
Jun 1, 2012
40
1
Ni muda gani nafasi ya mdhamini huishia? Baada ya hukumu au baada ya kumaliza kabisa malipo anayodaiwa mtuhumiwa?
 
Ni muda gani nafasi ya mdhamini huishia? Baada ya hukumu au baada ya kumaliza kabisa malipo anayodaiwa mtuhumiwa?
Ni pale ambapo -

Kesi imeisha

Mtuhumiwa katoroka na mdhamini kulipa fungu la dhamana au pale ambapo mdhamini anaomba kujitoa kwenye udhamini wa mtuhumiwa.
 
Back
Top Bottom