Ni vyombo gani vya usuruhishi ninavoweza kwenda kabla sijaenda mahakamani?

Rwebo

JF-Expert Member
Oct 17, 2015
978
1,138
Ndugu zangu, kuna deni naidai shule. Nili- supply vyakula na maktaba ninao. Lakini kabla sijaenda mahakamani ningependa nianzie kwenye vyombo vya usuruhishi. Sababu ningependa swala hili limalizike kiiungwana na pia kwenda mahakamani inachukua muda mrefu sana kupata haki yako. Tafadhali naomba msaada wa mawazo na kisheria niende wapi kwa upatanishi?.Ila Nisipopata muafaka nitaenda mahakamani.
 
Subiri mwaka wa masomo unapoanza tu, na wewe unawasha moto. Hapa hamtasumbuana maana za kukulipa zinakuwepo. Mdaiwa anaamua alipe mambo yaishe. Katikati ya mihula unakuta hata senti hamna mwanawane!
 
Back
Top Bottom