Ni vyema tukumbuke kuomba na kumshukuru Mungu wana JF

Ni jumatatu nzuri iliyojaa neema za Mungu wetu .

Si vibaya tukiwa katika kujadili siasa,mapenzi na maisha kwa ujumla tusiache kumkumbuka muumba wetu na kumshukuru kwa wema na fadhira zake anazoendelea kutujaalia siku hadi siku ni mapenzi makuu na ya ajabu kujitoa kwetu.

Kwa mimi Binafsi napenda yeyote aliye na nyimbo hizo hapo chini atuwekee ili tuendelee kupata baraka zake:

1. Upendo Nkone - Unitetee
2. Rose Mhando - Eee mungu nitakushukuru

Mbarikiwe na bwana kutoka katika kitabu cha Zaburi na Mithali

Mithali 22:1-16

Zaburi 142:1-7

First lady unasali kanisa gani?
 
Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa...(Hosea 4:6)

Tuna changamoto kubwa sana kukua na kudumu katika neno la Mungu (Wakolosai 3:16) na kuwalea watoto wetu katika kumjua Mungu (Mithali 22:6)
 
FL1 asante kwa thread hii!!! Jana nilipatwa na frustration kiasi kwamba nilishindwa kulala, moyo wangu ulukiuwa unaniuma sana mpaka nikajiuliza kwa nini siku zangu za furaha ni countable and my sad days are uncountable!!

mimi ni muumini (I trust in God). I told him to take care of my problems, asubuhi ya leo nilipofika kazini nikamweleza boss wangu kuwa I had a sleepless nite na sababu nikampa.....alinitazama kwa sekunde kadhaa kisha akasema "but how comes you look so cheerful?"

the point am trying to make here is that; huyu Mungu jamani ni wa ajabu...anytime you call Him he is there to respond to you no matter wat....

I always love this prayer:
Is there any remover of difficulties save God? Say praised be God he is God, all are His servants and all abide by His biding!!
 
Pole sana bht nimetamani kukupa thanks mbili lakini haiwezekani kumbuka maneno ya faraja kama haya

Ukisoma kitabu cha Yeremia 33:3 anasema “Niite,nami nitakuitikia ,nami nitakuonyesha mambo makubwa,magumu usiyoyajua.
 
Ni kweli ni jambo jema kumshukuru Mungu yeye aliyeumba Mbingu, nchi, bahari, jua mwezi na nyota na vyote vilivyomo.
 
Ni jumatatu nzuri iliyojaa neema za Mungu wetu .

Si vibaya tukiwa katika kujadili siasa,mapenzi na maisha kwa ujumla tusiache kumkumbuka muumba wetu na kumshukuru kwa wema na fadhira zake anazoendelea kutujaalia siku hadi siku ni mapenzi makuu na ya ajabu kujitoa kwetu.

Kwa mimi Binafsi napenda yeyote aliye na nyimbo hizo hapo chini atuwekee ili tuendelee kupata baraka zake:

1. Upendo Nkone - Unitetee
2. Rose Mhando - Eee mungu nitakushukuru

Mbarikiwe na bwana kutoka katika kitabu cha Zaburi na Mithali

Mithali 22:1-16

Zaburi 142:1-7

ongeza wimbo huu
HAPA NILIPO UPENDO NKONE
WAKUABUDIWA SHUSHO

Nijambo jema kumshukuru bwana na kumuimbia yy aliye juu kuzitangaza fadhili zake asubui na uaminifu wake wakati wa usiku eeh mungu wangu mapema nitakufuta
 
WanaJF wengine hatuamini mungu.

Kwa hiyo wewe kutuambia ni vyema kumshukuru mungu ni sawa na sisi kukuambia ni vyema kutomuamini mungu na kutoomba, bali kuweka juhudi zako.

Nikikwambia hivyo utajisikiaje?

Hillary would tell you "We don't wear our religion on our sleeves"

Beware of hypocrytes and Phariseees.

Hebu mcheki mchizi huyu kwanza anavyomwaga wisdom hapa

[ame]http://www.youtube.com/watch?v=MeSSwKffj9o[/ame]
 
Ni kweli lazima tumkumbuke MUNGU, Huu wimbo wa kilingala huwa unanibariki sana.
Nzambe malamu, Nzambe malamu, eh.
Nzambe malamu malamu malamu.
Natali bomoyi na ngai aah,
Natali libota na ngai
Nalobi y'oza malamu eh malamu malamu.
Nazalaka nzoka yakokufa,
Mokonzi osekwisa nga.
Solo oza malamu eh malamu
Eh malamu Nzambe eh.

Mungu ni mwema,Mungu ni mwema
NAmpa au namwachia Moyo wangu,
Namwachia familia yangu,
Kweli Mungu ni mwema.
Niliteseka karibia na kufa,
Mungu aliniokoa.
Mungu ni mwema
 
Mungu ni Pendo anapenda watu!

Ni kwa Neema zake na Fadhili, hata sasa tuko hai.
Mungu tupe ufahamu tupate kukujua wewe zaidi, na kisha tupate njia bora ya kukutukuza.

Thanks God in the name of Jesus!
wengi wanakufa, wengi wanaangamia vyovyote nilivyo leo ni kwa neema yako

GOD IS FAITHFULL
 
Ni kweli lazima tumkumbuke MUNGU, Huu wimbo wa kilingala huwa unanibariki sana.
Nzambe malamu, Nzambe malamu, eh.
Nzambe malamu malamu malamu.
Natali bomoyi na ngai aah,
Natali libota na ngai
Nalobi y'oza malamu eh malamu malamu.
Nazalaka nzoka yakokufa,
Mokonzi osekwisa nga.
Solo oza malamu eh malamu
Eh malamu Nzambe eh.

tafsiri kwa kiswhili mkuu inaonyesha mtamu kweli
 
WanaJF wengine hatuamini mungu.

Kwa hiyo wewe kutuambia ni vyema kumshukuru mungu ni sawa na sisi kukuambia ni vyema kutomuamini mungu na kutoomba, bali kuweka juhudi zako.

Nikikwambia hivyo utajisikiaje?

Hillary would tell you "We don't wear our religion on our sleeves"

Beware of hypocrytes and Phariseees

najibu hiyo red
atajisikia vizuri kwani hili ni jukwaa huru unaeleza hisia zako akuna ugomvi watuwatakuchukulia kama ufahamu wako ulivyo be free
 
WanaJF wengine hatuamini mungu.

Kwa hiyo wewe kutuambia ni vyema kumshukuru mungu ni sawa na sisi kukuambia ni vyema kutomuamini mungu na kutoomba, bali kuweka juhudi zako.

Nikikwambia hivyo utajisikiaje?

Hillary would tell you "We don't wear our religion on our sleeves"

Beware of hypocrytes and Phariseees.

Hebu mcheki mchizi huyu kwanza anavyomwaga wisdom hapa

http://www.youtube.com/watch?v=MeSSwKffj9o

eeeh Kiranga wanifurahisha sana! Sasa wewe wamuamini Mungu yupi? ama wewe ni nabii wa mungu yupi?
Mungu akusaidie kuukubali ukweli na siyo kuupinga..ubarikiwe sana ndugu yangu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom