Ni Vyema Tujifunze haya..

thomas_360

JF-Expert Member
Oct 11, 2015
1,459
1,428
Nimekaa kijiweni sana na watu na kufuatilia story tofauti tofauti hasa hizi za mahusiano..na wengi huzungumzia hasa pale kwenye eneo la kukwichi! kwichi!! na bebez..

Sasa vijana wengi wa kiume huwa wanalalamika kuwa kuna wimbi fulani la wadada ni shida tu ukiwa nao kwenye game, yaani unakuta mtoto wa kike anakutolea tu jicho hata kutoa miguno ya kimahaba hakuna sasa wengi huwa wajiuliza ni kwanini inakuwa hivi au unakuta akunwi vizuri?

lakini ukiangalia mwanaume unajitahidi kweli kupiga mashuti lakini wapi!...na hii hata mimi ilishawahi kunitokea nikaishia kuachana na demu baada ya kupiga bao moja tu maana hata raha sikuona..

Sasa sijui kwa wadada wanalizungumziaje hili hata kwa wakiume kama mwenye fununu na hili basi tiririka hapa tujifunze kitu.
asante na karibuni
 
Mwanamke yoyote ukimuandaa ipasavyo na kumpa show nzuri hawezi kukukodolea tu.
Lazima ahame sayari atajiendea Jupiter. Atakuachia Dunia yako.

Labda ulikuwa Team Kiba ukapata show ya baharini.
 
Mapenzi ni sanaa, sio kuingiza na kutoa u.boo kwenye papuchi.

Ukiona unamgegeda mwanamke halafu katulia tuu ujue hana hisia na wewe au hujui kumchezea akanyegeka!!
 
Back
Top Bottom