Ni vp nta add hii radio station kwenye tv chanel! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni vp nta add hii radio station kwenye tv chanel!

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by G spanner, Apr 13, 2012.

 1. G spanner

  G spanner JF-Expert Member

  #1
  Apr 13, 2012
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 426
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Nipo huku mkoani Nilinunua lnb na decoder mwanzo viliungua na radi ila katika Channel ya TBC radio zipo mbili tu tbc fm na taifa clouds haipo je njia gani nitumie kuiadd hii clouds?
   
 2. The Tan-talizer

  The Tan-talizer Senior Member

  #2
  Apr 15, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 155
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Install tena TBC one zitakuja zote
   
 3. w

  white wizard JF-Expert Member

  #3
  Apr 15, 2012
  Joined: May 18, 2011
  Messages: 2,462
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  huwezi kuipata clouds fm,hadi uwe unakamata clouds tv,kwenye hilo dish,ndio maana ukiwa unakamata itv,chanel 5 utapata radio one,capital na east africa radio,ukikamata star tv,utapata pia rfa,na kiss fm,chaneli ten,utapata magic fm,tbc 1 utapata tbc fm na tbc taifa kwani huwa ni setting 2.
   
 4. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #4
  Apr 15, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Ukweli ni kwamba kupata channel nne za Redio ktk Channel ya TBC1 inategemeana na ukubwa wa Receiver, nyingi zinaleta channel mbili za redio ambazo ni TBC Taifa na TBC FM ila kuna aina ya receiver zinakuletea Channel tatu za Redio ambapo ktk selection ya tatu right utapata Clouds fm na Left unapata Sibuka fm. Ushahidi ninao wakutosha maana nina receiver mbili moja inaleta nyingine inaishia stesheni mbili2. Kama kuna utaalam zaidi tusubiri tusikie.
   
 5. n

  ngarambe Senior Member

  #5
  Apr 16, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 100
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  C kweli mi nipo moshi na ktk tbc ndio tunapata clous fm na clous tv huku haishiki kbs labda uwe na kingamuzi na sisi tuna dishi tu clous redio km kawa
   
Loading...