Ni vizuri kufurahia mtoto azaliwapo, jipange jinsi ya kumlea

Anyisile Obheli

JF-Expert Member
Dec 13, 2009
3,398
319

SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) imesema kama yupo mtu anahisi anayo njia sahihi zadi ya kuleta amani na umoja visiwani Zanzibar serikali inamkaribisha mtu huyo kufanya hivyo na suala lake litapokewa na kufikiriwa.

Hayo yameelezwa na Waziri Kiongozi, Shamsi Vuai Nahodha katika hutuba yake ya kufunga mkutano wa 18 wa baraza la wawakilishi uliochukua takriban wiki mbili Maisara Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja.
Hata hivyo Nahodha alisema wapo baadhi ya watu walitilia shaka maridhiano hayo lakini mwisho wa yote wamekubaliana kwamba jambo la msingi linalotafutwa na kurejesha hali ya amani na utulivu wa wananchi wote bila ya ubaguzi.

“Najua wapo watu watakaotilia shaka jambo [...]Endelea hapa “Mwenye Mawazo ya Kuleta Amani Aje-SMZ”
Januari 30, 2010 | Tagi:maridhiano, mseto | Gawanyo Kitaifa | 5 maoni
Ujumbe kutoka Zanzibar


 
Back
Top Bottom