ni vizuri kucheka kwenye picha

vkeisy2006

JF-Expert Member
Mar 26, 2010
229
99
Whyitsimportanttosmileinpic.jpg
 
DUh bwana harusi mbona yupo km kivuli, koti tu jeupe ndo laonekana, lkn sura yake haionekani kabisaaaaaaaa
 
ndio maana mtoa maada anasema bwana harusi angecheka walau angeonekana meno.LOL!
 
Huu utani inanikumbusha shule ya msingi kuna mshikaji tulikua twamtania kuwa ni mweusi ila anaokolewa na meno, kwa ubao tulikua twachora meno tu.
 
Jamani tuache mambo ya kucheka kwanza,mi kuna kitu nakiona hapa,bwana harusi itabidi ambulensi na gari la fire rescue viwe vinapaki kwake especialy usiku,maana bibi harusi akimlalia kwa bahati mbaya hadi ambulensi ifike na hao zima moto wanavyochelewa sijui itakuwaje?
 
Dare to talk openly but that was mean
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom