Ni vizuri kila mtu kwa nafasi aliyonayo kumfanya mwenzie kuwa na matumaini

Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
29,180
39,948
Ni vizuri kila mtu kwa nafasi aliyonayo kumfanya mwenzie awe rafiki yake, mfanyakazi mwenzie, ndugu yake, adui yake, mpita njia n.k kuwa na matumaini.

Inapendeza sana mtu anapokuona wewe...anajawa na furaha katika nafsi yake na kuamini ya kuwa wewe ni mtu wa kipekee.

Na ili ufikie hatua hiyo kuna vitu katika maisha yako unatakiwa uvirekebishe; kuanzia nidhamu binafsi, namna unavyotatua changamoto, namna unavyowajali watu, muonekano wa mavazi yako n.k

Wakuu naombeni muongeze zingine...
 
ni vzr bt hayo yafanyike kwa kias coz si kila mtu atarespect kwa ufanyayo wengne watasema unajipendekeza uonekane mtu wa watu bt wengne watakuharmonize
 
Back
Top Bottom