Ni vitu gani vya kuzingatia wakati wa kufanya application za chuo???

hamis ramaah

Member
Jun 10, 2017
45
8
Salaam wakuu?
Naomba kujua mambo muhim ya kizingatia katika kufanya application za chuo juu ya I'll kupata kile ninacho kia apply na kuepuka competition katika coz ninayo hitaji wakuu
Karibuni..........!
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom