Ni vitu gani husababisha nywele kuwa nyeupe(Mvi) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni vitu gani husababisha nywele kuwa nyeupe(Mvi)

Discussion in 'JF Doctor' started by Kennedy, Aug 27, 2012.

 1. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #1
  Aug 27, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 11,270
  Likes Received: 2,947
  Trophy Points: 280
  Salam waungwana wa jukwaa hili. Kuna wakati unaweza kumuona mtu ana mvi ingawaje kiumri bado. Nadhani zaweza kutokea labda kutokana na maumbile ingawaje sina uhakika,pia kama kuna dr au mtaalam yoyote anaejua anaweza tuelimisha. Kuna wengine hata wakizeeka hawana,wengine wakiwa shule za msingi,sekondari wanazo.
   
Loading...