Ni Vita vya Wazee dhidi ya Vijana?

Elli

Platinum Member
Mar 17, 2008
55,888
87,150
Wazee ni watu wenye hekima, wazee ndio wenye maono mengi kuliko Vijana na kwa kipindi kirefu sana Vijana wameonekana watu wasio na msimamo ambao wanahitaji malezi ya Wazee kwa karibu sana ila nashawishika kuamini kuwa sasa Wazee wetu wamepotoka (no offense Intended)

Wazee wetu wamekuwa Waongo, Wezi na Jeuri na Kiburi, Iko wapi Busara Ya Wazee? Iko wapi? Ni nani atakua mshauri wa Vijana wetu? Nani atakua Mlezi wa taifa Letu? Kama hawa ndio Wazee wetu basi kama Taifa tutakua na tatizo mahali fulani, hatuna mtu wa kumlaumu
 
Back
Top Bottom