Sheillah Sheillah
JF-Expert Member
- Jun 17, 2020
- 583
- 1,478
Habari Wakuu?
Tunatambua kwamba vipimo vyetu tunavyotumia kupima HIV wanasema majibu ya uhakika ni baada ya miezi mitatu.
Je kama mtu virus hawajaanza kuwa detected kwenye hivi vipimo lakini tayari ana maambukizi, je hii damu atakayochangia ina usalama gani?
Wataalamu karibuni.