lodirofaa Member Jul 6, 2021 25 62 Aug 15, 2021 #1 Habari wakuu, Nilisikia Japan wanahitaji watu wenyeujuzi LAKINI mfumo umekaaje sijajua kwa anayefahamu. Nahitaji muongozo na Mimi nikapambane Mimi ni welder/fitter.
Habari wakuu, Nilisikia Japan wanahitaji watu wenyeujuzi LAKINI mfumo umekaaje sijajua kwa anayefahamu. Nahitaji muongozo na Mimi nikapambane Mimi ni welder/fitter.
Living Pablo JF-Expert Member May 17, 2020 3,230 10,094 Aug 15, 2021 #2 lodirofaa said: Habari wakuu, Nilisikia Japan wanahitaji watu wenyeujuzi LAKINI mfumo umekaaje sijajua kwa anayefahamu. Nahitaji muongozo na Mimi nikapambane Mimi ni welder/fitter. Click to expand... Choma kwanza chanjo awali ya yote
lodirofaa said: Habari wakuu, Nilisikia Japan wanahitaji watu wenyeujuzi LAKINI mfumo umekaaje sijajua kwa anayefahamu. Nahitaji muongozo na Mimi nikapambane Mimi ni welder/fitter. Click to expand... Choma kwanza chanjo awali ya yote
Smart911 Platinum Member Jan 3, 2014 119,056 141,866 Aug 15, 2021 #3 Kila la kheri, ngoja waje kukupa muongozo...