Ni vipi naweza kuangalia series au movies kwa ku-attach subtitles?

Wakuu huwa nadownload movies na series kupitia telegram sasa nyingi huwa hazina subtitles, nimejaribu kuangalia kupitia vlc au mx player bt naona dizaini inaleta shida, je kuna njia nyingine naweza kusolve hii shida?

Msaada kwenu.
nenda goole search engine andika subtitle ya movie unayo taka sio script , subtite alaf kata kuja kafaili na option ya kudownloan download alafu drag kuhamishia kwenye hiyo vlc au ingia vlc import subtile the inatakiwa uone lugha uliyo download english, chines, spanis, french scotish yani lugha yoyote uliyo download
 
Mkuu nimejaribu sana tangu jana hamna kitu, mx ilikubali kudowload bt subtitles zake hazioani kabisa na movie.
Shida inaweza kuwa subtitles au hiyo episode,zipo subtitles zinazingua ila pia unaweza kukuta hiyo episode ndio inazingua kwa maana inavyoanza ni tofauti na subtitles zinavyoanza na hapo lazima uone haziendani.

Yani labda unakuta hiyo episode uliyodownload ilitakiwa ianze kwa kuonesha matukio yaliyopita na hivyo ndio ingeendana na subtitle ila unakuta hiyo episode yako wamekata yenyewe inaanza moja kwa moja hapo sasa lazima zipishane.
 
nenda goole search engine andika subtitle ya movie unayo taka sio script , subtite alaf kata kuja kafaili na option ya kudownloan download alafu drag kuhamishia kwenye hiyo vlc au ingia vlc import subtile the inatakiwa uone lugha uliyo download english, chines, spanis, french scotish yani lugha yoyote uliyo download
Shukran mkuu, nitafanyia kazi
 
Kama unatumia PC fungua hiyo video nenda juu pale click view, then click VLSub , itakuletea kibox kimeandikwa jina la movie yako upande wa kulia pameandikwa search by name na seach by harsh, click yoyote hapo itasearch hapo hapo zitakuja subtitles za kutosha unaclick unayoitaka then chini pameandikwa download, ukishaclick hapo basi mchezo umeisha subtitle yenyenyewe inajiweka kwenye movie yako hapo hapo

Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app
 
Mkuu nimejaribu sana tangu jana hamna kitu, mx ilikubali kudowload bt subtitles zake hazioani kabisa na movie.
Play hiyo movie halafu idrag subtitle idrop kwenye vlc wakati movie inaplay. Njia nyngine irename iwe na jina exactly na movie kasoro extension halafu iweke folder moja ilipo movie, ukiplay movie itaplay na subtitle automatically
 
Shukran sana kwa msaada
 
Bado mkuu, ikoje?
Nilitaka nijue kama ni kali niitazame maana natafuta series nzuri ya kutazama. Mimi series zangu ni kama Game of thrones, spartacus, homeland season 1-5, na queen of the west kidogo.
 
Unaandika jina la movie na unadownload hiyo subtilte unaADD kwenye player unayotumia...
Sorry mkuu naomba nielekeze zaidi hapa, na download bt nikiingia telegram kwenye movie husika na nikifungua via vlc nakuta kuko empty.
 
Wengi Kunakitu HawajaNote...

1. Unapo download SUBTITLE yeyote iwe ya episode au ya full movie, HAKIKISHA zile namba za resolution zinafanana mfano kama movie yako ni 1080p basi subtitle yako nayo iandikwe hivyo, the same hata na FILE la video ya movie yako mfano kama movie ni WEB, HDRIP, BLUERAY basi subtitle nayo iandikwe hivyo na hata extension mfano .mp4 ...
Mimi Huwa Nikiwa nataka download subtitle, naichukua ile movie then nakua kama nataka ku rename lakini apo ntaikopi jina lake zima then naenda kwenye google search na paste mfano naanza kwa kuandika...

english subtitle kile kitu nilichoki copy

Na naitafuta inayofanana na title ya movie yangu mpaka extension yake

2. Na simple way ku add subtitle kwa movie iwe kwenye ipad, tablet, simu, tv unachotakiwa kufanya kulinganisha title ya movie na ya subtitle kila kitu kifanane halafu unaeka kwenye folder moja, mfano mimi huwa kama nataka ku rename title ya movie yangu lakin nachagua option ya COPY then naenda kwenye ile subtitle pia kama nataka kurename lakini ikisha highlight na paste, so hapo zitafanana, then naweka kwenye folder moja, iyo hata ukiplay kwenye tv yeyote au vlc yenyewe itakachofanya ni synchronization ya movie na subtitle yako
 
Nashukuru mkuu, bt unaweza ukaniwekea demo hapa,? Nimeidownload subtitle yenye uwiano sawa na episode niliyodownlod ambayo ipo telegram, bt baada ya kwenda sasa na kuiplay via vlc na kuopt add subtitles kunaonekana ni empty hamna kitu, nipe demo mkuu
 
Back
Top Bottom