winnerian
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 334
- 530
Ninapata nguvu kubwa ya kuamini kwamba kinachooendelea kwa Mbowe na CHADEMA kwa ujumla ni kuzima ajenda ya katiba mpya kabisa kisha ikishakufa anatokea DPP anasema sina haja ya kuendelea na kesi ya ugaidi inayomuhusu Mbowe na wenzake.
Kitalaamu ukiligundua hili utaona ni vigumu sana CHADEMA na wanaharakati kuendeleza hoja ya katiba mpya na kuacha kumtete kwanza Mbowe ba hivyo kuchelewesha hoja ya msingi na mwisho kabisa kuhidhohofisha.
Kwa hivyo serikali inabuy time mpaka utakapofika wakati iseme tu kirahisi haina haja ya kuendelea na kesi.
Kweli sisi docile hatuna namna nyingine.