Elections 2015 Ni vigumu sana kupata Rais mwenye sifa bora 2015

Mmmh nipo dodoma lakini ninachokumbuka Ni pale MAKOLE karibu na CBE aliposema WAPIGWE TU, na KULIA MAUAJI ALBINO
 
Pinda ninayemjua au kuna mwingine? Ninayemjua ni PM wa Tanganyika au maarufu Tanzania bara.
 
Habari zenu wana jamvi:,

mh. Mizengo kayanza peter pinda kazidisha utitiri wa watanzania wanaohitaji aiongoze tanzania.
Suala hili limekuja baada ya mikoa ya kaskazini kusini na mashariki kukunwa zaidi na utendandaji wake uliotukuka na mzuri zaidi ya maelezo hasa pale alipotokomeza ugaidi nchini hususani kuripuliwa misikiti na makania, kuleta kilimo bora cha kisasa kwa kutumia matrekta, kuongeza pesa kwa kuwadhamini wanavyuo wa elimu ya juu vyuo vikuu, kuboresha elimu tanzania, afya, kuinua uchumi n.k.
Kubwa zaidi ni kwa ukimya wake kama rais wa marekani mstaafu mh. Bill clincton ambapo hana makundi wala kundi la kuingia nalo ikulu.
Anawajali watanzania wote bila kujali itikadi zao za dini, rangi, ukabila n.k
anatosha kuliongoza taifa la tanzania 2015 - 2020

Hivi jamani mnakosa waume wa kuwasaidia jinsi ya kutafakari!!!hivi pinda akiwa rais hata kunguni si watahamia ikulu,hiv kwanza afya yake ikoje,akianza kulia nani wa kumbembeleza.rudi kwa mumeo mkae akushauri au la nenda tafuta mwanaume mwingine,khaaaaaa
 
Habari zenu wana jamvi:,

mh. Mizengo kayanza peter pinda kazidisha utitiri wa watanzania wanaohitaji aiongoze tanzania.
Suala hili limekuja baada ya mikoa ya kaskazini kusini na mashariki kukunwa zaidi na utendandaji wake uliotukuka na mzuri zaidi ya maelezo hasa pale alipotokomeza ugaidi nchini hususani kuripuliwa misikiti na makania, kuleta kilimo bora cha kisasa kwa kutumia matrekta, kuongeza pesa kwa kuwadhamini wanavyuo wa elimu ya juu vyuo vikuu, kuboresha elimu tanzania, afya, kuinua uchumi n.k.
Kubwa zaidi ni kwa ukimya wake kama rais wa marekani mstaafu mh. Bill clincton ambapo hana makundi wala kundi la kuingia nalo ikulu.
Anawajali watanzania wote bila kujali itikadi zao za dini, rangi, ukabila n.k
anatosha kuliongoza taifa la tanzania 2015 - 2020

Utakua umelogwa si bure.
 
mtoa post mbona unamkejeli PM kwakujifanya unamsifu???? au ndo umeamua kumchana makavu kwakumwambia hafai kua rais hata kwa kubanika.. mana hata yy akisoma ulichoandika hatakuacha mana hamna namna nyingine.....
 
Back
Top Bottom