Ni vigumu mwanamke kuwakataa wanaume 10 watakao mtongoza!

Juzi nikiwa nimekaa wa wababa walio kwenye ndo nikawauliza nimagumu gani wanayapata kwenye ndoa? Jibu nililopata lilinikata maini, wanasema ukiwa kwenye ndoa kua mvumilivu na fumba macho coz nivigumu mwanamke kuwakataa wanaume 10 watakao mtongoza! Tena kama kwenye ujana wako ulikua chupi mkononi basi utapigiwa sana mkeo kama si mkeo basi mtoto wako wa kike! Mnasemaje wakuu?

Mkuu, sikubaliani na wewe hata kidogo.
Mwanamke kukubali akitongozwa inategemea na malezi, hali yake ya kiroho, upendo ndani ya familia nk nk.

Mwanamke ambaye akitongozwa hukubali kirahisi, yawezekana kabisa yuko kubiashara zaidi, lakini sio mtu aliyeamua kutulia na familia/ndoa yake na mwenye malezi mazuri na anayemwamini Mungu wake.
 
E bwana mimi ninachojua ni kwamba mwanamke kama wa kumegwa nje hata mmoja hawezi kukatalia licha mpaka wafike kumi no wa kukataa hata wakifika 99 wa mia hawezi kukubalika kama kweli anajua nini maana ya ndoa na ana msimamo kweli kwamba mimi nimke wamtu.Hao wanaokubali wa kumi ina maana hat wa kwanza anaweza kukubalika.
 
Unajua kuna kipindi tunachnagia baadhi ya thread kwa machungu sana kutokana na jinsi watu wanataka kuwadhalilisha wanawake! Mimi sikubaliani kabisa na hiyo statement yako kwa sababu zifuatazo,
  1. Kumpata mwanamke inategemeana sana na mazingira aliyonayo, kama yeye amejitwist kwenye fedha basi ukitumia fedha utampata maana ndiyo target yake. Mwanamke wa aina hiyo hata uongee hadi mate mate yaishe mdomoni bila ngawila hajakupa.
  2. Aina ya pili ni wale wanaohitaji faraja ya kweli toka moyoni, kwa maana ni mtu ambaye hata kama hana kazi au anayo yeye anajiheshimu na kuona mwili wake au penzi lake ni kitu adimu na hivyo hadi kukubali ni lazima uwe umetimia vigezo alivyojiwekea n asi vinginevyo. Wanawake wa aina hii wengi huwa hawana papara katika maamuzi yao.
  3. Aina ya tatu ni wale wasiojiheshimu na hao kukupa penzi siyo kitu cha ajabu.
Hivyo itategemeana wewe demu wake/ mke wako yupo katika group lipi?
 
tuombe Mungu atusaidie hasa kwa wenza wetu kama hali ndio hii lakini shetani ananguvu sana kwa hiyo bila kuwa na imani ni bure kikubwa tushike sana tulichonacho asije mwovu akakichukua
 
Labda, lakini naona kama kila mtu na akiri yake maana wengine wanamisimamo ya ukweli.

Hapo kwenye red, hiyo ni kipimo upimacho, or u lzima ulipie kwa yale uloyatenda, so usiumie sana kama ulkuwa ukiwatesa mabinti wa wenzio.
na swali lako, naweza kukubaliana nawe maana huwa nawaona warembo au msichana mzuri ni nadra sana kumkuta ametulia, may be wanashindwa kuhimili vishindo vya kutongozwa.

Kuna ka ukweli flani lakini..

mke mkeo bwana, humegewi ukumridhisha.

Sometimes inabidi tu kupita kama hukupita....

Things just dont add up..! So its more likely to be untrue!

Jamani kama mmeshindwa kuoa acheni tu manake naona mnakuja na vidodoso dodoso viiiingiiiiiiiiii ilimradi mpate tu visingizio!

If anyone read these comments between the lines, and all of you are women, then your comments prevails the truth...!
 
Mla huliwa. Utakubali kula tu bila kuliwa?? Haiwezekani!!!!!!!
 
mke mkeo bwana, humegewi ukumridhisha.
point..................kwa wastani mwanamke anatongozwa na watu wawili kwa siku,kila mwezi watu 60 ko unajaribu kutwambia huwa anapata mabwana 6 kila mwezi.toa upuuzi wako apa jf angalia thread reality kabla ya kupost
 
progress.gif
clear.gif
multiquote_40b.png
 
sasa mm bado sijaoa,..kama kweli haya ni true ya ukweli kabisaaaa basi ndoa na mm kwa heri,..maake nimewamega maden kibao hapa chini ya jua so far_na hii ni kuogopa kulipiziwa kisasi kama wasemavyo wahenga
 
Mwanamke akiamua anatongozwa hata na wanaume 100 na wote atawakataa, na hasa wale waliokuwa na ndoa wakaachana wengi huwa hawapendi tena mahusiano ya kimapenzi.
 
point..................kwa wastani mwanamke anatongozwa na watu wawili kwa siku,kila mwezi watu 60 ko unajaribu kutwambia huwa anapata mabwana 6 kila mwezi.toa upuuzi wako apa jf angalia thread reality kabla ya kupost
<br />
<br />
nimeuliza ndugu mbona unatukana tena? Thnx bhana, mungu akuzidishie..!!
 
Sidhani kama hao wazee wako sahihi na hayo waliyoyasema. I wish mapenzi yangekuwa na certain chemical or mathematical formulation ili ukiunganisha mambo majibu yaje vile unavyokusudia. Ninachokubaliana nacho ni kimoja tu! Ndoa inataka uvumilivu sana
 
E bwana mimi ninachojua ni kwamba mwanamke kama wa kumegwa nje hata mmoja hawezi kukatalia licha mpaka wafike kumi no wa kukataa hata wakifika 99 wa mia hawezi kukubalika kama kweli anajua nini maana ya ndoa na ana msimamo kweli kwamba mimi nimke wamtu.Hao wanaokubali wa kumi ina maana hat wa kwanza anaweza kukubalika.

Kwa hii dunia ya leo, ni mmoja kati ya 1,000,000
 
Back
Top Bottom